Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

Barua ya wazi kwa Sheikh Mziwanda na Dr. Sule: Acheni kutetea dhulma dhidi ya Watanzania wenzenu

W
Sisi masufi....

Tusikilize sisi wafuasi wa BAKWATA.....

Sheikh wetu mkubwa Hassan Chizenga ameshasema.....

Sisi masufi hatumuonei na kumdhulumu hata SISIMIZI.....

Masheikh wako wengi ,wachungaji wako wengi....wako akina mch.Kiboko ya wachawi....na maustadhi kiboko ya wanga pia tunao.....

#Waislam yetu ni BAKWATA😍
Wapumbavu nyinyi

BAKWATA wote ni masufi, na ndio hao wapumbavu.

Usufi = ushirikina/uganga

Hamna sheikh wa BAKWATA asiye Mshirikina
 
Masheikh 80% wanà uelewa mdogo wa mambo yasiyokuwa ya dini....hawa wapo vyema kukariri tu Quran ila huku kwingine ni weupe mno
Huu utafiti wako ulifanya lini na wapi ?! Dini yetu ya uislamu imekamilika na mwenye kuijua na kuisoma vizuri uelewa wake utakuwa zaidi ya hao mapadri unawaona wanaakili kumbe hamna kitu.. mwenye akili hawezi kuabudu kinyago
 
Nani kasoma dini vyema ya kiislam na ana akili kumzidi hata mtumikizi,nitajie😁😁😁
 
Huu utafiti wako ulifanya lini na wapi ?! Dini yetu ya uislamu imekamilika na mwenye kuijua na kuisoma vizuri uelewa wake utakuwa zaidi ya hao mapadri unawaona wanaakili kumbe hamna kitu.. mwenye akili hawezi kuabudu kinyago
Uelewa wa mambo yanayoendelea saivi duniani unaweza kuyajua kwa kukariri Quran tu? Kwanini bakhresa watoto wake hajawapeleka kusoma vituo vya kukariri Quran tu? Au wewe mbona watoto wako hauwapeleki wakakariri Quran tu? Swala la kuabudu sanamu siamini kama wakatoliki huwa wanafanya hivyo ila naona kama tu inafanana na mahujaji kumpiga mawe shetani na kulibusu jiwe kwa hisia kali sana huku wanalia
 
Asilimia 90% masheikh wetu wanaitwaga masheikh ubwabwa, wao wanawaza ngono na kula tu, na kias kikubwa watahubiri mambo ya majini na shirki, lakini kutoa ushauri wa maana kabisa sijawahi kuona,
Sheikh Ponda unamweka kundi gani?
 
Mimi ambaye bado mwanafunzi nawazidi hao Mwenye akili hawezi kuabudu sanamu
SIsi hatuabudu sanamu tunatumia kama uelekeo tu takbir
 
Attachments

  • Screenshot_20240908_111807_X.jpg
    Screenshot_20240908_111807_X.jpg
    624.8 KB · Views: 1
Uelewa wa mambo yanayoendelea saivi duniani unaweza kuyajua kwa kukariri Quran tu? Kwanini bakhresa watoto wake hajawapeleka kusoma vituo vya kukariri Quran tu? Au wewe mbona watoto wako hauwapeleki wakakariri Quran tu? Swala la kuabudu sanamu siamini kama wakatoliki huwa wanafanya hivyo ila naona kama tu inafanana na mahujaji kumpiga mawe shetani na kulibusu jiwe kwa hisia kali sana huku wanalia
Njiwa kwenye 1/2
 
Kwanza Quran haikaririwi.. inasomeshwa! Kwa mwenye uwelewa mdogo ni ngumu kulielewa hilo ..

Kupiga jiwe na kubusu alkaaba hatuitakidi kwamba lilie jiwe Mungu kama wanavyoitakidi kafiroon .. kwamba kile kinyago Mungu.. wanakisujudia na kukivaa shingoni kabisa.... kumbe maskini ni Mzungu Actor , na anajulikana bado picha zake wanazo wanazibudu wakiitakidi ni mesaya ni Upumbavu Mkubwa sana alafu unasema hao watu wananakili kuliko masheikh zetu , la ,,Abadan ni wapumbavu kuliko sisi wanafunzi wa masheikh ...Quran tukufu ilishasema Sifa za Allah ni zipi (Hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mfanano wa kitu chochote humu duniani)
 
Hawa masheikh wamesahau kuwa:
1. Aliyesweka ndani masheikh wa Zanzibar ni rais muislamu, na mwenyekiti wa CCM wa wakati huo
2. Aliyewapa masheikh kesi za ugaidi huko Arusha ni rais muislamu, tena alikuwa mwenyekiti wa CCM
3. Aliyempiga risasi sheikh Ponda ikamjeruhi almanusra imtoe uhai ni rais muislamu, na alikuwa mwenyekiti wa CCM

Na aliyekuwa akipaza Sauti kuwatetea wote hawa ni CHADEMA. Hata kampeni za Urais za CHADEMA zilijikita katika kuwatetea hawa masheikh!
 
Ndugu Masheikh
Nimewajibika kuandika barua hii kuwaomba kwa unyenyekevu mkubwa ACHENI KUTETEA dhulma dhidi ya watanzania wenzenu ktk madhila yanayowakumba.

NIANZE NA SULE
Wakati wa sakata la Ngorongoro, Mwanamihadhara ndugu Sule aliandaa clip ambayo ilisambazwa katika makundi ya kijamii ikieleza kuwa wamasai waishio ngorongoro ni wakenya waliovamia maeneo hayo kutoka Kenya. Katika kauli hizo akajaribu kuwaaminisha watanzania kuwa hao wamasai walioko ngorngoro hawastahili kuonewa huruma pindi serikali ikijaribu kuwatoa kwa sababu ni Wakenya.
Kauli hii ilikuwa ni ya ajabu sana hasa ukizingatia kwanza ni uongo, maana wamasai walioko ngorongoro walihamishiwa hapo na serikali hiyohiyo ili kupisha uanzishwaji wa hifadhi ya Serengeti miaka ya 1960's. lakini ukiachilia mbali hilo ile ni kauli isiyo na chembe ya huruma kwa watanzania wenzetu waishio ngorongoro ambao, walikuwa wananyimwa kila aina ya haki za kiraia na utawala huu wa Samia ili kuwapa maisha magumu waondoke. Kusema uongo ni kinyume cha Agizo la Mwenyezi Mungu anayetaka watu waseme ukweli!
Hata hivyo ndugu Sule amekuwa akilalamikiwa na waislamu wenyewe kwa kulete mafundisho ambayo wao wanaita ni Shirki, kwa kutangaza pete za Majini kuwa eti zina msaada kwa watu kitu ambacho masheikh wenzie wamempnga vikali kuwa asilete SHIRKI katika dini.

KWA SHEIKH MZIWANDA
Ndugu Sheikh mziwanda, umesikika ukidai kuwa wanaotekana nchini ni CHADEMA wenyewe, na ukatoa mfano wa Clip ya Dr Slaa ya miaka takriban minne akizungumzia tukio la kutekana katika chama. Kinachonisikitisha unanasibisha matukio ya sasa kwa kusema kuwa ni CHADEMA wanafanyiana hayo.
Ndugu Mziwanda, Muogope ALLAH, Tafadhali sana ndugu yangu, Wewe mwenyewe umesema una listi ya watu zaidi ya 100 waliotekwa kipindi cha Magufuli, Je Ndugu mziwanda hao wote walitekwa na CHADEMA?- Mo Dewji alitekwa na CHADEMA?,Roma mkatoliki alitekwa na CHADEMA?, Azory Gwanda alipotezwa na CHADEMA?

Kwenye kauli yako ukasikika unasema kuwa kipindi cha Magufuli walipotea zaidi ya watu 100, ukahoji kuwa mbona hakukuwa na maandamano?- Kwa hiyo ndugu Mziwanda, unataka kutwambia kuwa kwa kuwa watu hawakuandamana kudai jambo fulani kipindi cha nyuma basi ni makosa watu hao kuandamana kutaka jambo fulani leo hata kesho?. Sisi tunapata mashaka ndugu Mziwanda kuwa unataka kuchomeka hisia za udini, unataka watu waone kuwa kwa kuwa mtawala wa sasa ni muislamu basi kila dai lolote la msingi ambalo raia wa nchi hii wanalo basi eti wanaweka presha kwa sababu rais ni muislamu. NDugu mziwanda hiki unachokifanya ni kibya mno, si chema na kwa kweli kinagawa watu kuliko kujenga!

MZIWANDA, wewe hujitokeza mara nyingi wananchi wanapokuwa na ishu na serikali yao, wewe husimama kuitetea serikali tena kwa kuwagawa waislamu wajitenge na madai ya msingi ya kitaifa. Ulifanya hivyo katika mimbari kutetea uuzwaji wa bandari, ukadai kuwa mama anashambuliwa kwa imani yake.
Leo Umma unataka kutumia haki zao za kikatiba kuandamana ili mauaji na utekwaji vikomeshwe, wewe unakuja na kuongea na waislamu eti wajitenge na mambo hayo. SHEIKH HIVI UNASIMAMIA HAKI AU UNAWALINDA WATAWALA?

Sheikh: Kwani mtume si alisema ukiona jambo baya/ovu liondoe kwa mkono wako, ukishindwa kemea uovu huo, na kama kukemea huwezi si mtume alisema chukia?- SASA WEWE unasimamia wapi katika hayo matatu kuhusiana na matendo ya kutekwa, kupotezwa na kuuawa watu?. Je hutaki watu waingie mitaani kukemea uovu huo unataka wafanyeje?. Umesema kuwa wakati wa Magufuli walipotea watu zaidi ya 100, LINI WEWE UMEWAHI KUKEMEA JAMBO HILO WAZIWAZI UMMA UKAKUSIKIA?

SHEIKH MZIWANDA SI KWA SABABU SAMIA NI MUISLAMU BASI UNAJARIBU KUMLINDA NA KUMKINGIA KIFUA KWA KILA KITU KIBAYA!.

Ndugu Mziwanda, Mwenyezi Mungu katika Qur'an anasema kuwa sema kweli hata kama ukweli huo "unakunyooshea kidole" wewe mwenyewe. Sasa kama mtu inabidi ujishuhudie ukweli hata kama ukweli huo uko dhidi yako kwa nini unamkingia Kifua Samia eti kwa sababu Samia ni muislamu mwenzako tu?.
Je umesahau Khalifa mmoja wa kiislamu amewahi kumpa haki Myahudi licha ya kuwa kuna shauri mbele yake lililetwa linalomhusu muislamu na myahudi. Kwa nini alimpa haki myahudi badala ya muislamu mwenzie?

NDUGU MZIWANDA: Umekuwa ukijaribu kuwatenga waislamu wasiungane na watanzania wenzao kwa hoja za :
1. Amani,
2. "Mbona wakati wa magufuli haikuwa hivi?"

Ningependa kukwambia tu kuwa wanaotekwa, kupotezwa na kuuawa siyo wakiristu tu bali hata waislamu pia. Mo Dewji ni muislamu, Mzee Ally kibao ni muislamu. Sasa kwa nini hutaki waislamu waungane na waislamu wenzao kupaza sauti kukataa udhalimu huu?

SHEIKH MZIWANDA: Napenda nikukumbushe tu kuwa ukizuia WENGI KUDAI HAKI basi mtu mmoja mmoja kwa siri au kwa dhahiri ataamua kuidai peke yake, Je unajua kitakachotokea pale mtu mmoja bila kushawishiwa na mwingine, au kwa kumshirikisha mwingine ataamua kulipa kisasi?.

SHEIKH tafadhali tetea haki ya watu, usitetee "ULUA" wa watawala!
Naam na Hao ndio Masheikh WANAFIKI na ni Masheikh UBWABWA wamejaa dhulma tupu ila wanasimama mbele ya Umma na kuongoza ibada

Wapo wengi sana Awamu hii wakijitahidi kujipendekeza kwa Rais huku wakifanya Unafiq na Dhulma
 
Na ndio tunapokuja kuona pia umuhimu wa elimu dunia ,maostaadhi wengi wana bomba mbili tu ( cha kuzaliwa na cha la saba) sasa lazima mtu wa hivyo uchanganuzi wa mambo uwe mdogo sana ,kwa kweli ukiwasikiliza baadhi narudia baadhi ya mashekhe nje ya kisomo cha dini ni weupe peeeeh kichwani
 
Kwanza Quran haikaririwi.. inasomeshwa! Kwa mwenye uwelewa mdogo ni ngumu kulielewa hilo ..

Kupiga jiwe na kubusu alkaaba hatuitakidi kwamba lilie jiwe Mungu kama wanavyoitakidi kafiroon .. kwamba kile kinyago Mungu.. wanakisujudia na kukivaa shingoni kabisa.... kumbe maskini ni Mzungu Actor , na anajulikana bado picha zake wanazo wanazibudu wakiitakidi ni mesaya ni Upumbavu Mkubwa sana alafu unasema hao watu wananakili kuliko masheikh zetu , la ,,Abadan ni wapumbavu kuliko sisi wanafunzi wa masheikh ...Quran tukufu ilishasema Sifa za Allah ni zipi (Hakuzaa wala hakuzaliwa na hana mfanano wa kitu chochote humu duniani)
Ukiishasomeshwa Quran ukaielewa ndio unafanya hivi???
 
Attachments

  • Screenshot_20240908_111807_X.jpg
    Screenshot_20240908_111807_X.jpg
    624.8 KB · Views: 1
Sijaelewa nini kinafanyika hapo ..
Huwezi elewa sababu huijui vyema imani yako,unachojua ni kuelezea za watu ambazo pia huzijui.

Hapo ni battle la kushika jiwe ili dhambi zisamehewe na Allah,sekunde 1 unafia hapo hapo.
Huyo unayemwona hapo juu ni mbaba wa makamo ambaye pia anaamini akiswali tu kwa Allah dhambi zinasamehewa,ila kaamua apandie wenzie mabegani aguse jiwe,nasisitiza hiyo sio ibada kwa mujibu wa akili za kiislam.
 
Huwezi elewa sababu huijui vyema imani yako,unachojua ni kuelezea za watu ambazo pia huzijui.

Hapo ni battle la kushika jiwe ili dhambi zisamehewe na Allah,sekunde 1 unafia hapo hapo.
Huyo unayemwona hapo juu ni mbaba wa makamo ambaye pia anaaminu akiswali tu kwa Allah dhambi zinasamehewa,ila kaamua apandie wenzie mabegani aguse jiwe,nasisitiza hiyo sio ibada kwa mujibu wa akili za kiislam.
Kwa hiyo kafiri anafundisha Dini yangu ati siijui..hahaha 🤣 nimekuuliza unazifahamu nguzo za Hija?! Je kubusu na kushika jiwe ni Moja wapo ?; kama Hujui sema ukomeshwe bwana mdogo
 
Kwa hiyo kafiri anafundisha Dini yangu ati siijui..hahaha 🤣 nimekuuliza unazifahamu nguzo za Hija?! Je kubusu na kushika jiwe ni Moja wapo ?; kama Hujui sema ukomeshwe bwana mdogo
Wewe unifundishe uislam mimi???
kachukue zulia la msikitini ufue😁😁,nguzo ya hija ni moja kati ya nguzo 5 za uislam na imeweka sharti kwa mwenye uwezo wa kwenda huko mecca.

Labda hujui na dhumuni lake ni nini,ndio maaa nikakuandikia kule juu,kwamba mdogo wako pale juu na mbavu zake anajua pia kwamba akiswali tu Allah anamsamehe ila kaamua atoke jasho la kwapa makusudi kabisa🤣🤣🤣
 
W

Wapumbavu nyinyi

BAKWATA wote ni masufi, na ndio hao wapumbavu.

Usufi = ushirikina/uganga

Hamna sheikh wa BAKWATA asiye Mshirikina
Wewe utakua gaidi salafi....kazi yenu ni kujilipua na kuwaua mpaka SISIMIZI.....nyinyi ni TUKANO katika ardhi......

Rejea :Fitnatul wahabiyya
 
Back
Top Bottom