Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Ni uongo kwa wenye UFINYU wa akili tu lakini kwa Watanzania tunaojitambua tunajua Lissu hana asili ya uongo. Na kila anachokisema ni ukweli mtupu.

Msindikizeni mgombea wenu kwenda kutoa ufafanuzi wa maneno ya uongo anayoyaoongelea jukwaani
 
Ni uongo kwa wenye UFINYU wa akili tu lakini kwa Watanzania tunaojitambua tunajua Lissu hana asili ya uongo. Na kila anachokisema ni ukweli mtupu.
Your browser is not able to display this video.
 
Umeandika ugoro mtupu
 
Dawa ya uchakachuaji Duniani kote ni kuingia barabarani huko mahakamaccm hakuna haki
 
Kalia huo msumari kenge wa kijani
 
Vipi kuhusu wabunge waliokatwa na NEC na upendeleo wa wazi wazi wa Mkurugenzi wa NEC?
 
Point hapo ni " Uchaguzi wa huru a haki". Ikitokea umeona hujatendewa haki basi Kuna njia za kisheria za kufuata na sio kumwaga damu ya wananchi
Huna hoja, weka namba yako upate chochote.
Haibiwi mtu kura mwaka huu, ng'ombe anachinjiwa alipoangukia
 
Wewe, hao ulowaandikia wakisema wafuatilie kauli za wagombea ujuwe na Magufuli hasalimiki!
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Gadafi Elbashiri Iddy Amin dada leo hii wapo wapi?
 
Kachukue buku 7 zako
 
Kakojoe ukalale ila barua kwa Tume ya Uchaguzi ya Magufuli imefika amekabidhiwa yeye mwenyewe. Ila akiishughulikia na yeye atashughulikiwa
NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM hawafanyi kazi kwa mjibu wa Sheria tena bali wanafanya kazi kwa mjibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
 
Tundu ni wa kupuuzwa tu. Tunampuuza sasa na tutampuuza Okt 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…