Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Acha kuchanganyikiwa wewe. Lissu alisema ataingia Barabarani ikiwa atashinda akaporwa ushindi wake halali. Wewe CCM unaongea upuuzi wako ukifikiria time wanakurupuka? Unataka Lissu aongee unsyoyapenda wewe na wanaokulisha?

Bahati nzuri mgombea wa CHADEMA anaijua sheria vizuri kuliko Jiwe anayeongea hajui nini analosema. Lissu alielekeza kitu ujue kipo ndani ya sheria.Mwaka mtakoma na mnalo
 
Mbona kwenye bunge la katiba alikuwa anaongea haya haya?

Lisu hana madhara yoyote wanaojua siasa wanaelewa!
Sasa hivi ni kipindi cha kampeni, haivumiliki kuongea uongo ambao unaweza kuleta madhara makubwa kwenye umoja, amani na mshikamano wetu Kama taifa.

Tindu Antipas Lissu akataliweeeeeee
 
Kura zinapigwa nchi nzima na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndio inayokusanya, kujumlisha na kutangaza matokeo. Kwa upande wa ubunge na udiwani wanaweza kwenda mahakamani Ila kwa upande wa urais ikishatangazwa imetangazwa na yeye Kama wakili msomi anajua hilo, Sasa barabarani anafuata nini Kama sio kutaka kugongwa na magari?
 
Tulieni show ya watu waliokosa la kufanya moto wake muuone hiyo 28/10 make ninyi mnaotudhihaki kisa hatuna LA kufanya Sauti ya Mungu itaongea ndio mtasikia
 
Tulieni show ya watu waliokosa la kufanya moto wake muuone hiyo 28/10 make ninyi mnaotudhihaki kisa hatuna LA kufanya Sauti ya Mungu itaongea ndio mtasikia
Mungu ndo anasikiliza wapenda sodoma?? Sindano inawaingia nyie msioelewa mnataka nini. Pumbafu kabisa
 
Kwenye hizi kampeni nimeona kila mgombea ana staili yake ya kampeni. Kuna wanaoamsha wananchi na kuna wanaotishia wananchi. Sijaona hiyo tume ikikemea hata mmoja wao hivyo naona tume imebariki vitisho kwenye kampeni. Mimi ninaapa sipigi kura kwa vitisho vya mtu bali kwa kuamua. Mwaka huu 2020 tunatishwa mno.
 
Nimeongelea suala la kuhatarisha amani ya nchi na kupelekea machafuko

Hakuna kitu kinachotishia kuvuruga Amani ya Taifa kama kuwatisha wananchi kutowanyima maendeleo kwa sababu wametumia haki yao ya kikatiba kumchagua mtu usiyemtaka wewe!

Lissu yuko sahihi, Hajasema atavunja muungano bali ataleta muungano wenye haki pande zote mbili. Hilo ni jambo zuri sana, limo kwenye rasimu ya warioba ambayo ni document ya kitaifa
 
Mmebanwa Safari hii mnaanza kulia lia

Huna sababu ya kuhofia watu kuingia barabarani kama si Mwizi wa kura!
 
Sasa hivi ni kipindi cha kampeni, haivumiliki kuongea uongo ambao unaweza kuleta madhara makubwa kwenye umoja, amani na mshikamano wetu Kama taifa.

Tindu Antipas Lissu akataliweeeeeee
Tayari umezidi kujiweka peupe uko upande gani. Waliokutuma waambie wamekosea sana kukuchagua. Nadhani hawakujiridhisha vyema na uelewa wako kichwani. Wewe ni zaidi ya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…