Hajayaona yote hayo, kaliona na Lissu tu kufafanua Muungano wa TanganyikaMgombea wa CCM anapotishia kuwanyima wananchi maendeleo warakapochagua wapinzani unaona ni siasa safi!!
Mgombea wa CCM anapokatisha masomo wanafunzi ili wakasikilize wasichoweza kujibia mitihani unaona sahihi na hukisemi!
Mgombea wa CCM anapohutubia Kisukuma Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita unaona sawa na husemi!
Wewe ni mwanaCCM unatakiwa kuwaeleza wanaCCM wenzio kwenye platform yenu.
Point hapo ni " Uchaguzi wa huru a haki". Ikitokea umeona hujatendewa haki basi Kuna njia za kisheria za kufuata na sio kumwaga damu ya wananchi
Haki haiombwi haki unaichukua.Point hapo ni " Uchaguzi wa huru a haki". Ikitokea umeona hujatendewa haki basi Kuna njia za kisheria za kufuata na sio kumwaga damu ya wananchi
We binti jiheshimu basiNdugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukia fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Maneno anayotamka yako wazi. Huyu jamaa amejipanga kumwaga damu
Nimeongelea suala la kuhatarisha amani ya nchi na kupelekea machafuko
Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),

Atasalimika sama kwasababu hajatishia usalama wa nchi yetu
Kwa kweli kampeni zake zinapandikiza chuki,woga na kuchochea vita.ni bahati mbaya kuwa na mgombea wa namna hii.sijui taifa litafanyeje kuunganisha wananchi ambao amewatawanya kwa kiwajaza chuki zisizo na msingi.Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukia fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
SijaliWewe mpuuzi tena mpumbavu usiejitabua
Niwe mkweli kwamba tangu Lissu aanze kampeni nimetokea kumchukia Jiwe kupita maelezo kiasi kwamba akikatiza jirani yangu naweza mnasa kibao. Lissu anaushawishi wa ajabu sana! Sielewi kwa nini. Hapa nilipo namwona Jiwe ni muuaji, katili, jasusi, na kumwona hatofautiani na Idd Amin yule wa Uganda. Kwa kweli mleta hoja umeon mbali sana. Watu wanamchukulia poa Lissu, hapana, ana ushawishi wa ajabu sana!Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukia fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Mimi siko pamoja na wewe kubagua watanzania wenzetu kwa kigezo cha mahali wanapoingia.Amani ni zao la haki, tendeni haki ili watu wakiingia barabarani waingie kwa shughuli zao binafsi za matumizi ya barabara na si vinginenvyo.
BTW, nafasi zimejaa sana sijui unalenga nafasi ipi ya uteuzi ili tukuangalizie kama ipo. Lakini pia muwe mnakumbuka kurudisha feedback kwa Polepole kumwambia kuwa mapokezi ya mabandiko yenu kwenye social media mbalimbali hayapokelewi vizuri, mwambieni kuwa mnakula za uso kwelikweli, sababu watu wengi wanajielewa sana, labda mjaribu kumuomba kuelekeza nguvu kubwa vijijini.
Kura zinapigwa nchi nzima na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndio inayokusanya, kujumlisha na kutangaza matokeo. Kwa upande wa ubunge na udiwani wanaweza kwenda mahakamani Ila kwa upande wa urais ikishatangazwa imetangazwa na yeye Kama wakili msomi anajua hilo, Sasa barabarani anafuata nini Kama sio kutaka kugongwa na magari?
UKOSEFU WA UMAKINI UMEFANYA MADA HII KUWA KITUKO CHA SIKU!!Ndugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),