Uchaguzi 2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

Moumbafu
 
Ushahidi kamili wa barua yangu ya Wazi kwa mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Mungu anafanya kazi kwa njia za ajabu sana.

Wale mnaoniponda kuwa naandika uzushi, haya msomeni ndugu yetu Kihava mpate kujiridhisha
 
Chama cha CCM na mgombea wao wana makosa mengi; moja Rushwa mbili kulazimisha wanafunzi na wafanyakazi wa umma kuacha masomo na kazi ili kwenda kujaza watu kwenye kampeni za mgombea wa CCM. Hili ni kosa kisheria.
 
Mimi siko pamoja na wewe kubagua watanzania wenzetu kwa kigezo cha mahali wanapoingia.

Huko kijijini unapopadharau ndiko kunakokupatia chakula chako.

Haha wala sijadharau mtu mimi usinilishe maneno we Mtanga, nimeshauri kuwa huku hakuna kura za bure bure tupeleke nguvu vijijini.
 
UKOSEFU WA UMAKINI UMEFANYA MADA HII KUWA KITUKO CHA SIKU!!
Nadhani ukitulia waweza andika vema ila nadhani bado unateswa na Lisuphobia...
Makosa ya kiuandishi ni Jambo la kawaida hasa ukiwa ubatumia simu janja. Lengo ni ujumbe ufike, naam nao umefika.

Hatahivyo, ninakushukuru kwa kuona hilo, tayari nimerekebisha.
 
Ingefaa angeanza kuonywa yule mbaguzi na wale wote waliobambikia wenzao kesi nk huku wenye dhamana wakiwa kimya
Kodi tutoe wote eti tunyimwe maendeleo kisa tumetumia haki yetu ya kikatiba,huu ubaguzi na ufulishi mbona haujauandikia barua ya wazi?
Lisu kabainisha kile wazanzibari wanataka ambacho ni muungano wa hiari waendeleze nchi yao
 
We fala aanze kuonywa babayako! anaetisha watu kuwa! wakichagua upinzani watakiona!
 
Akiwa pemba Lissu amesema "ukisema nitaingiza wananchi barabarani sio uchochezi bali ni sawa na kusema nitakuja kudai haki yangu" kwani mtu akikwambia nakuja kwako kudai haki yangu hapo amechochea nini?
 
Kichotokea Kenya, ivory coast nk. si ubakijua?
 
Takataka kabisa
 
Mleta mada usiwe na wasiwasi,!

Lisu tutamchinja kwenye box la kura. Atarudi analia kama mtoto kwa beberu wake Amsterdam
 
Makosa ya kiuandishi ni Jambo la kawaida hasa ukiwa ubatumia simu janja. Lengo ni ujumbe ufike, naam nao umefika.

Hatahivyo, ninakushukuru kwa kuona hilo, tayari nimerekebisha.
bado kuna tatizo maana wengi wanatumia simu janja...
Makosa ambayo huonekana madogo ndio huonesha umakini wa mtu!!
 
Mimi nadhani tumwonye lakini pia tumsamehe tu, huyu CHAUROPOKAJI ukimsikiliza tu kwa umakini unagundua kuwa bado ana shida kubwa kichwani.

Katika hali ya kawaida, sitegemei kama kuna Mtanzania anayeweza kuacha shughuli zake na kuingia kwenye Maandamano.

Ni mara ngapi mpaka sasa ametangaza Maandamano na watu wamempuza?
 
Hiyo ya kwamba matokeo ya urais yakishatangazwa hakuna kupingwa haikubaliki, na ni kilio chetu cha muda mrefu. Sasa acha tupambane maana ccm hamko tayari hicho kifungu kiondolewe wakati hamuheshimu kura za wananchi.
Sasa hali mkijua hilo, mlitakiwa aidha kulishughulikia kablanya kuingia kwenye uchaguzi au kukubaliana nalo.
Hatahivyo, Kama tume sio huru, hao wabunge wa upinzani na kura 6M zilitoka wapi?
 
Kichotokea kenya, ivory coast nk. si ubakijua?
Huko ilitokea kwasababu viongozi walilazimisha kubakia madarakani kinyume na matakwa ya wananchi. Hilo silioni Tanzania kwani tunawependa viongozi tulionao na katika uchaguzi huu tutawaweka viongozi tuwatakao kwa kupitia sanduku la kura na si vinginevyo.
 
Sawa mkuu. Tumsamehe kwa kauli mbaya Ila tumuadhibu kwenye sanduku la kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…