mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Uraisi wa JMT na SMZ hupingwi mahakaman wala popote ndio maana 2015 Jecha alifanya takePoint hapo ni " Uchaguzi wa huru a haki". Ikitokea umeona hujatendewa haki basi Kuna njia za kisheria za kufuata na sio kumwaga damu ya wananchi
Kura au Kula maana kama ni kura tayari moja Kwa moja inafahamika atapigiwa Dkt Magufuli so Lissu maybe apate kula kwakeTundu Lissu ni shida anaushawishi mpaka kwako wewe mleta habari, ukienda kumsikiliza mara ya pili kura yako anayo !!!
Katiba ni maridhiano ya pande zote. Kama upinzani wamekataa isingekuwa katiba bora Rais Magufuli ametumia busara kuiweka kapuniTulia usijitoe hufahamu, wapinzani waligoma baada ya maoni ya wananchi kuanza kubadilishwa na wabunge wa ccm. Kumbuka katiba pendekezwa ilikuwa tayari kabla ya uchaguzi wa 2015, ila ilipisha uchaguzi mkuu kisha ndio kura ya maoni ifanyike. Ndani ya hiyo katiba pendekezwa iliyochakachuliwa maoni halisi ya wananchi, matokeo ya urais yalipaswa kuhojiwa mahakamani. Ila rais huyu aligomea kura za maoni ili kupata katiba hiyo, lengo lake ilikuwa ni kutumia katiba hii outdated kufanya atakalo, ikiwemo kuchezea chaguzi za nchi hii. Sasa kwakuwa alidhani katiba ni jambo la utashi wa rais, basi acha yatokee atakayo ili ajue rais hayuko juu ya matakwa ya umma.
Kwakuwa mmejiandaa Kwa namna hii inaonesha ni Kwa namna gani hamna uwezo wa kushinda na tayari mmejiandaa kushindwaUraisi wa JMT na SMZ hupingwi mahakaman wala popote ndio maana 2015 Jecha alifanya take
Safari hii tunawaambia ninyi watu wa system hatuwaachi salama
Njia pekee ya kupinga uraisi wa jiwe ni kuingia barabaran na mawe
Ninyi njooni na risasi mungu atakuwa kwetu tutawashinda
Umesema sawasawa
Binti Kiziwi tusiwe wabaguzi. Ubaguzi huo wa kubagua watanzania waishio vijijini ndio moja ya sababu za nyie kukosa kura za watanzania waishio vijijini"Tupeleke nguvu kijijini" kwasababu ndiko kwenye kura za bure
ZALEMDAKwa kweli kampeni zake zinapandikiza chuki,woga na kuchochea vita.ni bahati mbaya kuwa na mgombea wa namna hii.sijui taifa litafanyeje kuunganisha wananchi ambao amewatawanya kwa kiwajaza chuki zisizo na msingi.
Katiba ni maridhiano ya pande zote. Kama upinzani wamekataa isingekuwa katiba bora Rais Magufuli ametumia busara kuiweka kapuni
Tulio wengi tumeishi kwa furahaMateso ya miaka 5 yaturudie?
Karibu kunakuchaNdugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Mnajitekenya na kucheka wenyeweZALEMDA
Huyu adhabu yake Ni moja tuu, kumpa Rais Magufuli kura zote, kuwachagua wagombea wa CCM kwenye nafasi za ubunge na udiwani. Hapo watajifunza kuacha michezo michafu na kufanya siasa safi
Kisukuma hakitasaidia hata kwa dawaNdugu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),
Ninachukua fursa hii kukupongeza wewe na timu yako kwa kazi ngumu mnayoifanya. Mnafanya kazi zenu kwa weledi na kwa mujibu wa sheria. Hongereni sana.
Kama inavyofahamika, nchi yetu hufanya uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kila baada ya Miaka mitano. Hii ni kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ambayo ni nchi inayofuata demokrasia ya vyama vingi.
Ndugu mwenyekiti, mwaka huu, 2020 Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. Tayari kampeni za uchaguzi zimeanza kote nchini huku vyama mbalimbali vikizunguka kunadi ilani zao za uchaguzi.
Itakumbukwa kuwa lengo la kampeni hizo Ni kunadi sera za chama husika ili wananchi waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura. Kampeni hizi zinatawaliwa na kanuni, sheria na taratibu pamoja na utamaduni wetu Kama watanzania. Hivyo, haitarajiwi kampeni hizi kutumika Kama sehemu ya kuwagawa Watanzania.
Hivi karibuni tumeshuhudia vitendo kadhaa vya uvunjifu wa amani ambavyo mara zote hufanywa na chama kimoja tuu, CHADEMA. Kabla ya kuanza kampeni, tulimsikia Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia tiketi ya CHADEMA akiweka wazi kuwa atawaingiza watanzania barabarani Kama hatatangazwa mshindi. Tuliahihudia waandishi wa TBC wakifukuzwa kwenye uzinduzi wa kampeni za CHADEMA pale mbagala kwenye viwanja vya zakhiem.
Tundu Lissu akiwa jijini Mbeya aliendeleza mashambulizi kwa viongozi wa nchi kuwa itawaka Moto usiozimika. Huku akijua kabisa analengo gani, anaweza hoja za kuwa atadhuriwa huku akijenga hoja "kijanja" na kuwatumbukiza viongozi wa nchi ili wananchi wakoae imani na viongozi hao.
Kubwa kuliko Ni kauli yake aliyoyafanya Zanzibar akisema Hayati mzee Karume alilazimishwa kusaini makubaliano ya Muungano kinyume na mapenzi yake. Aliunda mbali zaidi kuwaambia ndugu zetu wazanzibar wanachaguliwa viongozi wao na Tanganyika huku akijua fika kuwa vikao hufanyika Dodoma kwasababu ndio makao makuu ya chama cha Mapinduzi.
Kauli hizi anazitoa sio kwa bahati mbaya kwani Mheshimiwa Lissu ni wakili msomi mwenye weledi mkubwa wa masuala ya kisheria. Anafanya hivi kwa makusudi akitumia utaalamu wake wa kisheria kuwashawishi watanzania kuamini uongo ambao unaweza kupelekea uvunjifu wa amani.
Ninaomba nikiwa Kama mtanzania mzalendo ninayeipenda nchi yangu kuwa Mheshimiwa Lissu aonywe na aelekezwe kujikita kwenye kueneza sera za chama chake. Ni muhimu Mheshimiwa Lissu akumbushwe kuwa Kuna maisha baada ya Uchaguzi. Mimi na yeye tunaweza tusiwepo, Ila watanzania amvao Ni ndugu, rafiki na watoto wetu wayendelea kuwepo. Hawa wanastahili kesho bora zaidi.
Ni vema Mheshimiwa Lissu akakumbushwa kuwa viongozi wa kisiasa Kama yeye ni watu wenye ushawishi kwa wafuasi wao na kuwa maneno yao yanaweza kuleta Faraja au huzuni, kilio au furaha, upendo au chuki, umoja au utengano zaidi sana kifo au maisha.
Amani Msumari
Tanga
Nakala:
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Katibu Mkuu - CHADEMA
Katibu Mkuu - CCM
Hapa inaendelea kuthibitishwa kuwa Lissu anawachochea wananchi kuvunja amani.Wizi mkubwa ni kwenye kura za urais, njia za kisheria baada ya kuibiwa ni zipi? Bila machafuko sioni mabadiliko ya maeneo yanayolalamikiwa.
Unajitishia nyau we mwenyeweKwenye hizi kampeni nimeona kila mgombea ana staili yake ya kampeni. Kuna wanaoamsha wananchi na kuna wanaotishia wananchi. Sijaona hiyo tume ikikemea hata mmoja wao hivyo naona tume imebariki vitisho kwenye kampeni. Mimi ninaapa sipigi kura kwa vitisho vya mtu bali kwa kuamua. Mwaka huu 2020 tunatishwa mno.
ThibitishaAcha kuandika upuuzi na uongo.
"Kumwaga sera"Huyo anayesema hatapeleka maendeleo sehemu ambayo hajachaguliwa, yeye amejipanga kumwaga nini?
Hapa inaendelea kuthibitishwa kuwa Lissu anawachochea wananchi kuvunja amani.
Ndugu Tindo hapa ametupa ushahidi huo
"Kumwaga sera"