Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Nakuelewa btn the lines.

Bt nasikitika kusema, Ikitokea Lissu akaacha utume wake,

Mungu atawaleta akina Lisu zaidi ya 100 kuendelea na utume huo.

Mungu aliwaumba wote, maskini na matajiri Ili wasaidiane Si wahujumiane.

Na Hali ya kutojitambua ikiendelea , MATAJIRI WAPUMBAVU wakibweteka, itatokea Ugomvi kati ya matajiri, Bado hapatatulia.

Tuandike maoni yetu, bt tusivuke mpaka na kujiona tuna uelewa kuliko MUUMBA na kupitiliza kuwa WAPUMBAVU.

Ameeen.
 
Mi maskini unatakiwa uifanyie Kama Magufuli alivyo ifanyia. Unaiibia kwa kuwapa vitambulisho feki vya machinga unaiambia mtafanya biashara popote yenyewe inalipa hela huku ilikenua meno Kama mazuzu halafu wew unachukua pesa zile unakula bata na kujijengea uwanja wa ndege nyumbani kwako. Halafu ukifa Ile Ile mimaskini uliyo idhulumu itakusifu sana na kukuita wew ulikuwa shujaa wao.
 
Amina!

Tatizo ni Ile Hali ya kumtetea mtu asiyetaka kutetewa, unaweza kimpeleka punda mtoni kunywa Maji lakini huwezi mlazimisha Anywe maji.

Lisu na wengine Kama yeye, wanapaswa wasubiri uhitaji wa Watu kutaka kusaidiwa.

Mimi naamini kuwa Leo hii Lisu akiulizwa kuhusu Yale aliyoyafanya atafurahi na kujivunia lakini atasikitishwa na matokeo ya aliowapigania.

Inauma Sana umtetee mtu alafu akuambie hakukutuma kumtetea, kumsaidia au kumkomboa,

Musa aliagizwa na Mungu kuwakomboa Waisrael baada ya Kilio Chao kufika mbinguni,
Inamaana Bila ya kilio kufika mbinguni Mungu wala asingemtuma huyo Musa.

Msaidie mtu anayehitaji msaada lakini kamwe usimsaidie mtu ambaye hajakuomba msaada hata kama unamuona anahitaji kusaidiwa.

Ninaweza nisieleweke, wengine wakaniona nina roho mbaya, lakini nikisemacho ndio nature inavyotaka
 
Mungu anaetetea maskini, anawapenda maskini ila ANACHUKIA UMASKINI na Upumbavu ulio ndani ya MASKINI.

Ndomana nakushauri usijitutumue sana ukaelekea Kuwa MPUMBAVU sababu ya SHIBE, maana nimesema wapo MATAJIRI WAPUMBAVU wengi mno ktk Nchi yangu.
 
Wapo matajiri wapumbavu ndio Ila mada inawahusu Masikini Mkuu.

Tatizo la dunia haipendi ukweli hasa likiguswa kundi au tabaka la chini.

Ni Kama vile uwaseme wanawake utaambiwa unawadhalilisha au kuwanyanyasa kisa kuwaambia ukweli
 
Mungu ndo huweka roho ya utume juu ya mission Fulani ndani ya mtu, LISSU Kuna wakati pia hujishangaa imekuwaje anafanya ayafanyayo.

Yote Yana faida na hasara zake Ili Mapenzi ya Mungu yatimie.
 
Mungu ndo huweka roho ya utume juu ya mission Fulani ndani ya mtu, LISSU Kuna wakati pia hujishangaa imekuwaje anafanya ayafanyayo.

Yote Yana faida na hasara zake Ili Mapenzi ya Mungu yatimie.

Ni kweli Kabisa.
Kupitia tukio la Lisu watu wengi wamejifunza ukuu wa Mungu lakini pia wamejifunza kuwa Unaweza kutaka kumkomboa mtu lakini mkombolewa akakataa.

Hata sasa maandiko yanadai kuwa Yesu alikuja kuukomboa ulimwengu lakini walimwengu tumemkataa. Ndivyo ilivyo
 
Nimesema UPUMBAVU na UMASKINI ulio ndani ya MASKINI Hauna tofauti na MFUNGWA aliyepigwa pingu za minyororo mikononi na miguuni.

Ukombozi wa kifikra haipasi kuachwa, UENDELEE maana muda wote maskini yupo ktk tanuri anauguzwa.

UPENDO uzidi, zaidi na zaidi. Ameeen
 
Na kweli. Watanzania wa hovyo sana
 
Wapo matajiri wapumbavu ndio Ila mada inawahusu Masikini Mkuu.

Tatizo la dunia haipendi ukweli hasa likiguswa kundi au tabaka la chini.

Ni Kama vile uwaseme wanawake utaambiwa unawadhalilisha au kuwanyanyasa kisa kuwaambia ukweli
Ook ndiyo maana mweusi akiitwa mweusi huko ulaya anachukia sana(kumbe ni kweli ni mweusi).Lakini mweupe akiitwa mweupe wala hakina NGO inayojitokeza kupigiza kelele."Mlete mdhunguu" wala siyo shida ila "mlete mweusii".... noma!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Iko hivyo.
Inferiority complex inasumbua sana
 
Nafurahi kwa maandiko yako hapa Jamvini, hakika unatutendea haki.

Lakini ni haki kuwaacha tu haya makundi? Ama tuendelee tu kutoa elimu.

Maana iliandikwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Sasa, watu hawa nani anapaswa kuwapa maarifa hata kama wao hawaoni haja ya kutafuta.
 
Binadamu wa siku hizi hawataki maarifa wanataka mambo ya kipuuzi.

Ndio maana inashauriwa usihangaike nao.
 
Lissu hawezi elewa hii, mpk siku atakapozikwa pale Ikungi na masikini wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…