Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Umeongea ukweli unaochoma
 
Unamwambia nini Rais Magufuli?
 
"Aliyeumba hii dunia ndiye anataka dunia iwe hivi ilivyo, wapumbavu wahenyeke, wenye hekima wale bata. Masikini wachapike, matajiri wale upepo mwanana."
UMESOMA MSAHAFU GANI? Acha kupotosha watu
 
Kaka umeonge kwa hisia nzito sana ni kweli hayo uliosema hutokea lakini haizuwii watu wakakosa kusaidiana ingawa hayo hutokea ukiangalia vitabu vitakatifu vyote vinasisitiza watu wasaidiane bila kujali matokeo kmf zaka na sadaka ni mapendekezo ya Mungu na ni amri sasa ukiacha kutii amri ya Mungu kwa kuhofia utadhurika ni imani dhaifu ww tenda wema usingoje shukurani
Lakini kwa upande wa lisu mm nadhani lengo lake si kuwakwamua kimaslahi dhamira yake ni kuwafanya masikini na wapumbavu wajitambue na wakishajitambua wao sasa watajua wajikwamue vipi maana mgonjwa akisha jua anaumwa nin ni rahisi kujitibu
 

Nani amesema watu wasisaidiane Mkuu?
Nimetahadharisha watu wasisaidie masikini na wapumbavu.

Kusaidiana kuko, lakini sio kusaidia wapumbavu na masikini. Nimekupa mifano ya watu waliokuwa kihere here kusaidia wapumbavu na masikini na kilichowapata.
 
Inafikirisha!
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Nani amesema watu wasisaidiane Mkuu?
Nimetahadharisha watu wasisaidie masikini na wapumbavu.

Kusaidiana kuko, lakini sio kusaidia wapumbavu na masikini. Nimekupa mifano ya watu waliokuwa kihere here kusaidia wapumbavu na masikini na kilichowapata.

Mkuu samahani umenielewa sivyo mm sipingi ulosema najua yapo ila ktk kuchangia tu ili mlengwa achambue yanayomfaa na nimesoma maelezo yako hakuna sehemu uliamrisha ila umeshauri na kwa kuwa ni wazi maana yake na sisi tuchangie misaada ipo ya aina nyingi ni kweli kuna misaada mingine inaweza kukuumiza na mingine ukashukuriwa mfano wa lisu ni kama kumpa mtoto elimu huyo akifanikiwa sidhani kama anaweza kukuletea madhara sasa lisu analolifanya ni kuwaelimisha maskini na wapumbavu wajitambue kisha wajiulize kwa nini wao ni maskini au wapumbavu kama hilo wakilijua halafu wakamdhuru mm sina la kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…