Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu



Mkuu mwenyewe nilikuelewa.

Mwenye sikio na asikie
 
Nje ya mada
Mbona hiyo picha yako inavutia namna hii?
 
Lisu kwa sasa hatetei unawadhani ni njia ya tu ya kupitia hao masikini yeye anatetea mabeberu hukuona acacia alivyotoa povu
 
Nilisha wai andika humu kwamba:, matatizo ya watanzania sio ccm ama Magufuli, bali ni watanzania wenyewe.
watu hawajielewi.. mazuzu tupu.

hii nchi ni senta ya watu wapumbavu na wajinga wengi.
Mtikila(rip) alikuwa sahihi aliposema watanzania wanaugonjwa wa UNYANI .

hata wanao unga juhudi wapo sahihi. kupigania mpumbavu ni sawa kumpeleka mbwa mars.
hata jua kwamba hii ni sayari nyingine, atajua bado yupo kwa MFUGA MBWA.



Sent from my Phantom6 using JamiiForums mobile app
 
Et awatete matajiri ndio atakua xalam.Mbon huyo jiwe yy anawabambikia kexi hao matajiri na yupo xalama xalmin acha kumpotoxha kamanda wetty
 
"Aliyeumba hii dunia ndiye anataka dunia iwe hivi ilivyo, wapumbavu wahenyeke, wenye hekima wale bata. Masikini wachapike, matajiri wale upepo mwanana."
UMESOMA MSAHAFU GANI? Acha kupotosha watu
Kwani mkuu, hujawahi kusoma "aliyenacho ataongezewa na asiyenacho atanyang' anywa" jamaa kaongea ukweli unaochomachoma!
 
Kwa hivo Raising wetu anafanya vibaya kutetea wanyonge na maskini? Hata sikuelewi ubataka kuwakilisha nn.
 
[SUP]Hizi fikra zako zinaitwa “Namna ya dunia hii!” Kama usingeweka mifano ya Kibiblia ungekua sahihi sana! Ila huenda Upo sahihi maana, unatuambia tusiifuate Biblia, tusiwe kama Musa na Yesu, waliosaidia wapumbavu na masikini, yakawapata, yaliyo wapata! Ungeweza kuwa sahihi kama sacrifice zao (Musa, Yesu na Biblia kwa jumla) zisingekua na matokeo chanya ya muda wote! Lakini katika kusaidia kwao masikini na wapumbavu, walipanda mbegu, zao ambalo hata Wewe ni matunda yake!! Wewe ni mwerevu Kwa sababu kuna Mtu, alisaidia masikini na wapumbavu, labda hawakusaidika lakini, mtoto wao au mjukuu wao ambaye ni wewe, ‘AKILI KUBWA’, ana uwezo wa kumshauri Lisu na watu wa kaliba yake!😂[/SUP]
 
Ndugu Heriel
Nimefurahi kusoma barua yako iliyo mwandikie Tundu Lisu kwani imenifanya kukamilisha research yangu.Kuhusu kwanini viongozi wapigania uhuru wanatofautiana na hawa wa sasa,mfano nimesoma Mapito ya Richard Lumumba,kwame nkhuruma,Julius nyerere,Nikimwacha pembeni Robert Mughabe ambae amenifanya kutambua kwamba utimilifu wa mwanaume kutegemea mke anaye mpata usimdiscribe na kumhumukumu mwanaume ambayokabla hajaoa eg Joshua Nasari
DR.Silaha na wengine.
Watu hawa wanao tetra wanyonge ulio waita wapumbavu wanakitu ndani kinacho wasukuma kufanya hivyo ningeita spirit na hii sprit kuna active dormant na dead kulingana na wakati na watu wanao kuzunguka.
 
Hii Nimeipenda.." Kumtetea swala ni kuchafua amani ya mbugani". Wewe ni Kichwa..Logically you're very right...Keep it up Mtumishi. Again nikamalizia na hii " Namna bora ya kumsaidia masikini ni kumdhulumu na kumuonea. Namna bora ya kumsaidia mpumbavu ni kumfundisha upumbavu",
 
Aisee wewe ni" pumbavu na lofa " Kauli ya marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…