Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

Masikini waone hivyo hivyo Mkuu.
Bila kumdhulumu hawezi kukuheshimu, atakudharau.

Masikini ukimsaidia haoni kama unamfanyia favour, yeye anajua ni wajibu wako. naye ni halali yake kusaidiwa.

Masikini anatamani aone anguko lako. Yaani acha tuu
Tatizo la uzi huu ni kutarajia kuwa wasomaji β€œwanamfahamu” huyo masikini.

Kama kweli unataka kuwafikia wengi zaidi ya TL na wenzake, basi huna budi kumuainisha na kumbainisha huyo masikini kikamilifu.

In any case, naamini umeshamfahamu Tundu Lissu kuwa ni mtu asiyejali kabisa kama watu wanamuelewa au la. Akishaweka akili yake kwenye kutetea haki na kubainisha uovu ni mpaka basi. He is a one track-minded person. Hajali kama itamharibia kisiasa au kijamii. Hajali kama atapendwa au kuchukiwa. Ndio maana kuna wakulu waliona jawabu la uhakika (final solution) la kumnyamazisha ni shaba tu.
 

Ukitetea wajinga na masikini amini amini nakuambia hutofika popote pale,

Hakuna aliyewahi kufika popote,
 
Masikini waone hivyo hivyo Mkuu.
Bila kumdhulumu hawezi kukuheshimu, atakudharau.

Masikini ukimsaidia haoni kama unamfanyia favour, yeye anajua ni wajibu wako. naye ni halali yake kusaidiwa.

Masikini anatamani aone anguko lako. Yaani acha tuu
Very true!, upo sahihi 100%
 
Upumbavu na ujinga ni kufikiri maisha ni hapa duniani tu,Magu yuko wapi?

Uelevu ni kutafuta makao ya kudumu,life after death.

Mungu angekuwa na mawazo kama ya kwako basi angeua kizazi chote cha duniani maana utajiri wa dunia ni takataka kwa Mungu.

Musa,Yesu,mitume wote walikufa kweli,lakini kifo ndio mwanzo wa ufunguo wa maisha ya kudumu,hasa ukifa unatetea kweli.
 
Mkuu umemaliza tunao na tunawaona,na wengi wao wanasema kama shida matatizo tumeyazoea,
Sasa unamkomboaje mtu wa hivyo?
Na wengi wao kazi ni kulialia tu na kulalama,
Wapumbavu wote wanastahili mateso tu
 
Wewe ni mmoja wapo?Mungu hajawahi kuwapenda wapumbavu, maana aliwapa akili wakashindwa kuzitumia na kubaki kulalamika tu,
Utasikia oooh namuachia Mungu,ili akufanyie/kukutafutia haki zako?
Angalia unachokiona acha kufikilia usichokuwa na uhakika nacho
 
We jamaa inaelekea hata historia ya Dunia huijui,sifa zote ulizozitaja ambazo wanazo maskini,hawakuzaliwa nazo,umaskini ni matokeo,Wala sio chanzo,watu wanafukalishwa maksudi au kwa viongozi wao kukosa maarifa,
Kule Uturuki,alikuwepo Mustafa Ataturk,baba wa Taifa lao,watu walikuwa maskini,fukara,wajinga,wamekumbatia dini tu,akawa na maono,akawaambia achana na dini kwanza,fanyeni toba kisasa,nchi ikabadirika,ikawa ya kisasa,wale "maskini"wakaelimika,leo hii Uturuki ni developed country kama UK,wamekuja mpaka bongo wanatutengenezea reli.
Mao se tung,aliwabsdirisha maskini wa china,leo hii wachina wapo kila pembe ya Dunia,wanatawala,
Umaskini wa Afrika sio kosa lao,ni kukosa viongozi wenye maono,
Kwa sera mbovu za ccm mkampuni kibao yalifungwa kuanzia 2015,sasa Hawa wakiwa maskini ni kosa lao?
Maskini lazima awe na hasira,je unaikimbuka siku ya mtoto wa Afrika?vijana maskini waliandamana wakabadirisha historia ya SA,
Philippine,Indonesia,Malaysia unafikiri hizi nchi wananchi walikuwa matajiri from no where?!!viongozi kama Lisu walifanya kazi,wakalipa gharama leo hii maskini wa jana,leo ndio matajiri.
Wakati wa utawala wa Hitler,Jews walikuwa maskini,fukara,walipopata mtetezi,yaliyobaki ni historia.
Vita anayopambana nayo Lisu,Mbowe,ni wanaume wachache wanaweza,wengine nyie,wake Zenu wakiwanunia,presha zinapanda,vidume vinakaa jera,na vinadunda,hizi vita za kiume hazikuumbiwa kila mtu,
We kula ugari wako,kalale,acha wanaume tupambane,kama Mandela angekuwa kunguru kama wewe,Patrick Motsepe(tajiri mkubwa mzawa)angetoka wapi.?
 

Huwezi kuelewa mpaka siku ukishaufikia mwisho wako.

Vita ya Mbowe vimeishia Wapi?
Vipi Lisu?

Huwezi tetea watu wasiojitambua, watu wasiotaka kutetewa na wasiojua umuhimu wa kile unachowafanyia.
 
 
Huwa naheshimu sana makala zako, lakini leo umeandika vumbi. Huna budi kuiomba wana JF msamaha kwa andiko hili ovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…