Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa TAMISEMI na IGP

Pole sana ,soon hao mbwa watakuwa nje ya ulingo , trust me

USSR
Usimuaminishe huyo hakawii kugeuziwa kibao na kuambiwa walimsamehe tu maana walimkuta na nyara za serikali
 
Vijijini ndio zaidi wanalipa pesa kwa makosa ya kubakizwa na kutishiwa, wanawakamata vijana wanawasingizia wamebaka mwanafunzi kijana anakaa kituoni Hadi ndugu walipe pesa ndio atoke Chemba wachunguzwe, Hakuna siku niliumia baada ya tukio la Kijijini wakaja mjini Chang'ombe wakabeba kijana mwingine jirani yangu wakampeleka Chemba kwa kosa hilo hilo kijana wa watu hata Chemba hapajui. Sijajua tatizo nini labda mshahara hautoshi au?
 
Sijafurahishwa na moderators kubadilisha heading

Sasa mmeifanya kuwa stori badala ya kuwa msaada

Nyie mods kuna jambo mnalificha


Hiii sio stori n msaada unaoombwa kwa vyombo vyote Sasa hii heading inaonesha n Kama jamaa anatusimulia habar tu ya maisha


UsHAURI TU ILE HEADING NDIYO ILIFANYA WATU TUUSOME HUU UZI NA KUYAJUA HAYA
 
Kiumbe ambaye hata nimkute anakata roho hapo ( iwe kapata ajali ama majanga yoyote ) siwezi msaidia ni polisi, tena kama tupo wawili tu mi na yeye naweza mmalizia hata kwa jiwe kubwa la kichwa, polisi yoyote yule ata awe baba yangu mzazi..

Hawa jamaa katika 100 unaweza usimkute mwema ata mmoja.

Huwa wanajiona wao ni Special na invisible! Kama wanaishi Mars.
 
Maelezo haya yameniumiza sana, nimekumbuka mbali sana, naomba Mungu katika uzao wangu asije tokea mtoto wangu kuchagua kuwa polisi
 
Fanya hivi hao maaskari Kama unawajua nenda katoe sadaka alafu sema ee mungu kwa sadaka hii niliotoa sema nao Hawa maaskari
 
Natumaini utasaidiwa vinginevyo itaonekana na hao viongozi wana support hivyo vitendo vinavyofanywa na askari hao wahuni.
 
Mtu wa kwanza kushughulikiwa inabidi awe huyo OCD na hao maofisa wa TAKUKURU kwa kushindwa kukusaidia inamaanisha wanashirikiana na hao jamaa.
 
Mi huwa na Jiuliza mko zaidi ya watatu mna Mpora Raia zaidi ya Laki 9 eeh mkigawana hiyo laki tatu mtaani inakupeleka wapi...???

Muajiriwa wa serikali ambae unaipenda Ajira yako kweli uwaribu kazi kwa sababu ya Tshs Laki Tatu...???

Na mtendaji katika serikali ambae ana tabia na tamaa ya vipesa vidogo kama hivi hafai utumishi anapaswa afukuzwe na achiswe kazi.

Maana Jukumu la Police liko wazi ni kumkamata mtuhumiwa na kumfikisha mahakamani baada ya upelelezi.
Lakini wao wamekamata mtuhumiwa wamkatesa na kudai pesa watakayo na kumuachia.

Mi na Imani na Nchi yangu... Hakika hawa ndugu zetu hawana kazi tena maisha yao

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
kwa Tanzania hii? Ili kutochafua jina lao utashangaa Polisi wanampa jamaa mpaka kesi ya kuua. Hii nchi haijawahi kuwa na haki. Ni uonevu tu.
Mijitu kama hiyo dawa yao ni kuiroga iwe michizi yote, tena michizi mishoga.
 
Ningekuwa mimi hao askari wawili wasingeuona huu mwaka mpya.
 
Taarifa zake zimeshafika kwenye ofisi ya waziri wa mambo ya ndani , hao majambazi lazima wajute kumfanyia hivyo kwenye kituo kilichojengwa kwa pesa za umma

USSR
Kule wizarani Ni wale wale.
Dogo ahesabu tu amekula loss.
Policcm wako above the law
 
Na hapo kijana Hama haraka.

Nahisi ungemalizia kuwapa hela ndo wagekuulia mbali.
 
Dah ... hata mimi nimepatwa na hasira sana
 
Mimi nimeona kama ni mtandao mkubwa sana pia sioni huyo ndugu kupat haki yake kwasabu wanaofanya uchunguzi ni hao hao polisi ... na mbaya zaidi huyu ndugu alisha sainishwa kule polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…