Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa TAMISEMI na IGP

Hii ni kesi ya pili inaletwa humu.Hivi ni kweli polisi wamegeuka vibaka hivi?Ni njaa sana zimewakaba mpk kukakamata raia?Hii ni aibu sana kwa Jeshi la polisi,watu ambao wanatakiwa wawalinde raia ndio wanaowadhuru.Jeshi la polisi huwa halifuatiliii nyendo za hawa vijana wao na matokeo ndio kama haya.Mtumishi wa watu anaenda kwa OCD takukuru nk ila hamna msaada anaopata. Ni aibu kubwa sana jmn.Kama kuna viongozi mnapita humu msaidieni huyu kijana apate haki yake.Huu ni unyama na udhalilishaji kitu ambacho ni aibu sana kwa jeshi la polisi.Binafsi nimesikitika sana!
 
Halafu utasikia wakisema wao ni walinda amani..HAKI itendeke.
 
Andika barua kuanzia kwa balozi mkit, diwani, mbunge, DSO, DC, DAS, RPC, IGP, WAZIRI, Mkuu wa majeshi na amirijeshi mkuu
 
Du! Kuna muda raia mwema hugeuka kua tishio katika nchi..! MTU kama huyu anatendewa unyama na vyombo vya usalama atashitaki wapi? Zaidi anaweza fanya kisasi kibaya ambacho kitaligarimu taifa kabisa.. Anyway viongozi msaidieni huyu jamaa
 
Ok hela umeshatoa imeisha hiyo siku nyingine usitoe
 
Inauma sana asee, Cha kufanya kama una uwezo wa kupata hela zaidi ya walizochukua basi achana nao tu fanya mpango hama karibu nao uishi mahali pengine mbali nao.
 
Heading yake ya mwanzo ilisomeka vipi mkuu
 
kwa Tanzania hii? Ili kutoshafua jina lao utashangaa Polisi wanampa jamaa mpaka kesi ya kuua. Hii nchi haijawahi kuwa na haki. Ni uonevu tu.
Mijitu kama hiyo dawa yao ni kuiroga iwe michizi yote, tena michizi mishoga.
Uko sahihi hakuna wa kufukuzwa kazi hapo
 
Ukweli mchungu
Hakuna msaada utaupata, hiyo imetoka.
Ila rudi kwa Mungu Kuna Jambo litawatokea, ukisubiri msaada wa kiserikali hutaupata
 
Daah inauma sana hao ikibidi wasomewe dua mbaya wakaangamie huko
 
Mama Samia sikia kilio cha huyu mtu.



Pole sana. Yani hao askari ningekuwa ndo wamenifanyia mimi hivi wangeanza kufa mmoja mmoja tena na familia zao. Na hivi nina fundi wangu jembe haswa sehemu, wasingeamini hakika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila mtu atakufa hata wewe utakufa. Hakuna atakaeishi milele. Huwezi kuacha kutetea haki yako kwasababu ya kifo.
Umeelewa nilichoandika lakini? Maana ulichojibu hapo hakina kushabihiana na nilichomshauri mleta mada.

Sijasema asitafute haki yake, sijasema atakufa na sijasema sitakufa yaani kimsingi haya uliyoandika sijui umeyatoa wapi.

Nakushauri usome Tena kwa umakini au ipotezee tu sio lazima uonyeshe umahiri wako wa kujibu out of context.
 
Duuuuuh mlongo hebu tupe kisa kizima, nasubiri.
 
Police wa TZ ni hovyoo tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…