Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Hao Takukuru wenyewe wanawaogopa police wala Rushwa!!Tupaze kwa sauti sote kwa pamoja imfikie mkuuu wa TAKUKURU BW HAMDUNI
Rubbish! Sasa kama ametembea na mke wa mtu ndiyo afanyiwe hivi? Rubbish!pole sana pia embu jitathmini hujawahi tembea na mke wa mtu uko au kutafuna tamu ya mkubwa?
kama sio basi hao uliowshtumu ni wahalifu na si askari,ungekariri na namba zao ingekua vyema sana.
Askari wanaodhulumu mwisho wao ni mbaya sana
Huyu mleta mada amekaa kizembe,sioni cha kumsaidia tofauti na uchawi,askari anakukaba shingo hadi pumzi zinakata na bado anakusweka rumande na kipigo juu,kutoka hadi umetoa laki 9 na hapo huna kosa,Kama ni mm lazima wazikwe kwanza wao.Bro hao watu kwann usijitoe mhanga uwaroge wote wafe ama watoke udenda maisha yao yote....KAMA WAMEKUSHINDA KWENYE JUA WATAFUTE KWENYE MWEZI...
pole sana pia embu jitathmini hujawahi tembea na mke wa mtu uko au kutafuna tamu ya mkubwa?
Ndugu yangu kama hujui kitu ni bora ukae kimya...Ulishindwa kukaza mpaka ukatoa pesa?yaani una polisi hela SI rushwa hio ulitakiwa ukomae mpaka wakupeleke mahakamani
Hapo ndipo wanaibuka kina Hamza the Duduman Square , watu tunasema Gaidi kumbe jamaa ana hasira za kufanyiwa Dhulma na hawa viumbe wanaolindanaHivi haya matendo yataisha lini? Mambo ya ajabu sana sana.