Huyu Mwamba Mtikila alikuwa kiboko
Sisi wenye machogo,RIP Mtikila ulipigania Uhuru wa Tanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wenye machogo,RIP Mtikila ulipigania Uhuru wa Tanganyika.
Unaonaje m mnavyo enjoy sasa hvi baada ya dhalimu wenu kuondoka?Kama ni huyo JPM unamtetea kubaki madarakani, ni bora kuongozwa kila ngazi na wanawake wa kizanzibari. Hututaki kutawaliwa na mtu mnyama bila ridhaa yetu.
Chama cha Zitto ni sehemu ya serikali ya mseto huko Zenji.....hivyo hawezi kukujibu lolote.Mheshimiwa Zitto:
Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar.
Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa.
Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu kiukweli uchumi wa Zanzibar hauna uwezo wa kuhimili hilo deni.
Sisi Watanganyika hatuna shida na Wazanzibar kunufaika na mikopo lakini tunachosema ni mambo mawili
1. Kama mkopo ni wa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, basi siyo haki nchi ya watu milion 1.5 wapewe 25% ya pesa, halafu watu milion 50 waliobaki wapewe kilichobaki wakati at the end of the day mkopo wote kwa kiasi kikubwa utalipwa na watu hawa milioni 50
2. Lakini kama Mkopo unaokwenda Zanzibar ni mkopo makhsusi uliokopwa na SMZ ila tu kwa kupitia udhamini wa JMT ni jambo la kheri isipokuwa tunaamini kabisa Zanzibar haina uwezo wa kiuchumi wa kulipa mikopo hiyo mikubwa sana relative na pato lao, kwa hiyo hapa napo ni dhahiri haya madeni tutayabeba sisi Watanganyika.
Ndugu Zitto :
Sisi tunajua, ACT ni pro Zanzibar, maana huwa inazungumzia maslahi ya Zanzibar kuliko Tanganyika katika muungano, lakini tunataka muelewe kuwa huu ukimya wetu sisi Watanganyika msiuchukulie kama uzuzu.
1. Tunajua 21% ya ajira za Muungano zinaenda kwa Wazanzibar(at least kwenye makubaliano) na tuliona waziri aliyekuwa na dhamana na utumiashi aliyebadilishwa ndugu Mchegerwa akilisimamia hilo
2. Tunajua kodi zote zinazokusanywa huko Zanzibar hata za TRA zinabaki hukohuko Zanzibar.
3. Tunajua kuwa Watanganyika mara kibao wamefinance uendeshaji wa serikali ya SMZ ikiwemo kulipa mishahara
Lakini at the same time wazanzibar wanaendelea kucomplain na kucomplain tu, Sasa ndugu Zitto Kiongozi wa chama, unatueleza nini sisi Watanganyika katika hili suala?
Wakati wa Magufuli mlipiga kelele sana alivyokuwa anaipendelea Chato, Sasa mbona mko kimya kwa namna Samia anavyoipendelea Zanzibar waziwazi?
Ninajua kuwa kuna hoja kuwa Zanzibar inaidai Serikali ya muungano pesa nyingi, well hata kama ni kweli, lakini hii haijustify upendeleo huu wa kimikopo, lazima itafutwe arrangement ya kusolve hiyo issue lakini siyo arrangement hii ya kuumiza upande mmoja.
Ndugu Zitto, sisi Watanganyika unatusemeaje na unatusemea wapi manung'uniko yetu?
Tanganyika ndo imeiweka Zanzibar mateka. Msilie maana Wazanzibari wamelilia uhuru wao miaka na miaka.
Tanganyika isione gharama kuilisha na kubeba mzigo wa kiuchumi itokanayo na muungano.
Wazanzibari na CHADEMA wameipigia kelele suala la muungano na kupendejeza uundwaji wa serikali tatu ila majitu majinga CCM wameamua iwe hivyo.
Basi hakuna sababu ya Tanganyika kulalamika
Wazenji wangeachwa peke yao wangekuwa mbali sana kiuchumi - angalia kisiwa cha Mauririus kilichopata uhuru 1968 - miaka 4 baada ya Zenj.Tanganyika ndo imeiweka Zanzibar mateka. Msilie maana Wazanzibari wamelilia uhuru wao miaka na miaka.
Tanganyika isione gharama kuilisha na kubeba mzigo wa kiuchumi itokanayo na muungano.
Wazanzibari na CHADEMA wameipigia kelele suala la muungano na kupendejeza uundwaji wa serikali tatu ila majitu majinga CCM wameamua iwe hivyo.
Basi hakuna sababu ya Tanganyika kulalamika
Kwa sasa wanajinasbu na uchumi wa bluu ! Kumbe ni fedha za watanganyika
Kelele nyingi za wazanzibar kuhusu muungano wa Nyerere na Karume ni danganya toto kuwazubaisha wadanganyika kuwa wao ndo wenye kufaidika na muungano lakini nyuma ya pazia wao ndo wanufaika wakubwa kuanzia kwenye ardhi ya bara,ajira nk
Unaonaje m mnavyo enjoy sasa hvi baada ya dhalimu wenu kuondoka?
Kabisa mkuu!Tuko poa kinoma bila yule dhalimu.
Uliwahi kufika Pemba ukaona hali zao Na kuwasikia wenyewe ?Sahihi kabisa Swahiba wangu
Wapemba kama Wachaga tu…pamoja na kunufaika zaid na Ccm lakin wao ndio wa kwanza kuzuga kuikataa CCM kuwazuga Wagogo na wafipa wanaojiona wao ndio wanufaika wakubwa wa Ccm
Kabisa mkuu!
Sasa hivi tunapumua hakuna tena mauaji!
Magaidi yote ndani
Uliwahi kufika Pemba ukaona hali zao Na kuwasikia wenyewe ?
Mheshimiwa Zitto:
Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar.
Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa.
Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu kiukweli uchumi wa Zanzibar hauna uwezo wa kuhimili hilo deni.
Sisi Watanganyika hatuna shida na Wazanzibar kunufaika na mikopo lakini tunachosema ni mambo mawili
1. Kama mkopo ni wa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, basi siyo haki nchi ya watu milion 1.5 wapewe 25% ya pesa, halafu watu milion 50 waliobaki wapewe kilichobaki wakati at the end of the day mkopo wote kwa kiasi kikubwa utalipwa na watu hawa milioni 50
2. Lakini kama Mkopo unaokwenda Zanzibar ni mkopo makhsusi uliokopwa na SMZ ila tu kwa kupitia udhamini wa JMT ni jambo la kheri isipokuwa tunaamini kabisa Zanzibar haina uwezo wa kiuchumi wa kulipa mikopo hiyo mikubwa sana relative na pato lao, kwa hiyo hapa napo ni dhahiri haya madeni tutayabeba sisi Watanganyika.
Ndugu Zitto :
Sisi tunajua, ACT ni pro Zanzibar, maana huwa inazungumzia maslahi ya Zanzibar kuliko Tanganyika katika muungano, lakini tunataka muelewe kuwa huu ukimya wetu sisi Watanganyika msiuchukulie kama uzuzu.
1. Tunajua 21% ya ajira za Muungano zinaenda kwa Wazanzibar(at least kwenye makubaliano) na tuliona waziri aliyekuwa na dhamana na utumiashi aliyebadilishwa ndugu Mchegerwa akilisimamia hilo
2. Tunajua kodi zote zinazokusanywa huko Zanzibar hata za TRA zinabaki hukohuko Zanzibar.
3. Tunajua kuwa Watanganyika mara kibao wamefinance uendeshaji wa serikali ya SMZ ikiwemo kulipa mishahara
Lakini at the same time wazanzibar wanaendelea kucomplain na kucomplain tu, Sasa ndugu Zitto Kiongozi wa chama, unatueleza nini sisi Watanganyika katika hili suala?
Wakati wa Magufuli mlipiga kelele sana alivyokuwa anaipendelea Chato, Sasa mbona mko kimya kwa namna Samia anavyoipendelea Zanzibar waziwazi?
Ninajua kuwa kuna hoja kuwa Zanzibar inaidai Serikali ya muungano pesa nyingi, well hata kama ni kweli, lakini hii haijustify upendeleo huu wa kimikopo, lazima itafutwe arrangement ya kusolve hiyo issue lakini siyo arrangement hii ya kuumiza upande mmoja.
Ndugu Zitto, sisi Watanganyika unatusemeaje na unatusemea wapi manung'uniko yetu?
Mheshimiwa Zitto:
Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar.
Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa.
Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu kiukweli uchumi wa Zanzibar hauna uwezo wa kuhimili hilo deni.
Sisi Watanganyika hatuna shida na Wazanzibar kunufaika na mikopo lakini tunachosema ni mambo mawili
1. Kama mkopo ni wa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, basi siyo haki nchi ya watu milion 1.5 wapewe 25% ya pesa, halafu watu milion 50 waliobaki wapewe kilichobaki wakati at the end of the day mkopo wote kwa kiasi kikubwa utalipwa na watu hawa milioni 50
2. Lakini kama Mkopo unaokwenda Zanzibar ni mkopo makhsusi uliokopwa na SMZ ila tu kwa kupitia udhamini wa JMT ni jambo la kheri isipokuwa tunaamini kabisa Zanzibar haina uwezo wa kiuchumi wa kulipa mikopo hiyo mikubwa sana relative na pato lao, kwa hiyo hapa napo ni dhahiri haya madeni tutayabeba sisi Watanganyika.
Ndugu Zitto :
Sisi tunajua, ACT ni pro Zanzibar, maana huwa inazungumzia maslahi ya Zanzibar kuliko Tanganyika katika muungano, lakini tunataka muelewe kuwa huu ukimya wetu sisi Watanganyika msiuchukulie kama uzuzu.
1. Tunajua 21% ya ajira za Muungano zinaenda kwa Wazanzibar(at least kwenye makubaliano) na tuliona waziri aliyekuwa na dhamana na utumiashi aliyebadilishwa ndugu Mchegerwa akilisimamia hilo
2. Tunajua kodi zote zinazokusanywa huko Zanzibar hata za TRA zinabaki hukohuko Zanzibar.
3. Tunajua kuwa Watanganyika mara kibao wamefinance uendeshaji wa serikali ya SMZ ikiwemo kulipa mishahara
Lakini at the same time wazanzibar wanaendelea kucomplain na kucomplain tu, Sasa ndugu Zitto Kiongozi wa chama, unatueleza nini sisi Watanganyika katika hili suala?
Wakati wa Magufuli mlipiga kelele sana alivyokuwa anaipendelea Chato, Sasa mbona mko kimya kwa namna Samia anavyoipendelea Zanzibar waziwazi?
Ninajua kuwa kuna hoja kuwa Zanzibar inaidai Serikali ya muungano pesa nyingi, well hata kama ni kweli, lakini hii haijustify upendeleo huu wa kimikopo, lazima itafutwe arrangement ya kusolve hiyo issue lakini siyo arrangement hii ya kuumiza upande mmoja.
Ndugu Zitto, sisi Watanganyika unatusemeaje na unatusemea wapi manung'uniko yetu?
Kuwasikia Wapemba wakiinanga CCM sihitaji kupanda boti…Ilala nakuwa nao vijiweni nawaskia…au Wapemba wa Ilala na wa Mtambwe ni tofauti?
Watanganyika ndio waliouwesha muungano na Zanzibar.Watanganyika ndio nani hao?
Kuipa mamlaka Zanzibar kutaiongezea Zanzibar kunufaika na Muungano.Tanganyika ndo imeiweka Zanzibar mateka. Msilie maana Wazanzibari wamelilia uhuru wao miaka na miaka.