Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Sisi Watanganyika nani atatusemea

Kama ni huyo JPM unamtetea kubaki madarakani, ni bora kuongozwa kila ngazi na wanawake wa kizanzibari. Hututaki kutawaliwa na mtu mnyama bila ridhaa yetu.
Unaonaje m mnavyo enjoy sasa hvi baada ya dhalimu wenu kuondoka?
 
Chama cha Zitto ni sehemu ya serikali ya mseto huko Zenji.....hivyo hawezi kukujibu lolote.
 




Wazenji wangeachwa peke yao wangekuwa mbali sana kiuchumi - angalia kisiwa cha Mauririus kilichopata uhuru 1968 - miaka 4 baada ya Zenj.
Wajati huo uchumi wa Mauritius ulikuwa ni miwa na wa Zenj ni karafuu, lkn leo hii mauritius ni inakaribia Ulaya kiuchumi wakati Zenj inaendelea na wimbo wake wa Mapinduzi Daima.

Mauritius nao wangejiendekeza na wimbo kama huo wasingeendela chochote.
 
Kwa sasa wanajinasbu na uchumi wa bluu ! Kumbe ni fedha za watanganyika

Mlimnyima Marehemu Maalim Seif miaka yote mkauwa watu Na kutia wengine vilema, mkanajisi wanawake yote hayo kulinda Uvamizi mliouwa watu kwa maelfu. Mlisahau Kuna Mungu. Leo damu ya wanyonge inawatesa .
 
Sahihi kabisa Swahiba wangu

Wapemba kama Wachaga tu…pamoja na kunufaika zaid na Ccm lakin wao ndio wa kwanza kuzuga kuikataa CCM kuwazuga Wagogo na wafipa wanaojiona wao ndio wanufaika wakubwa wa Ccm

Kelele nyingi za wazanzibar kuhusu muungano wa Nyerere na Karume ni danganya toto kuwazubaisha wadanganyika kuwa wao ndo wenye kufaidika na muungano lakini nyuma ya pazia wao ndo wanufaika wakubwa kuanzia kwenye ardhi ya bara,ajira nk
 
Sahihi kabisa Swahiba wangu

Wapemba kama Wachaga tu…pamoja na kunufaika zaid na Ccm lakin wao ndio wa kwanza kuzuga kuikataa CCM kuwazuga Wagogo na wafipa wanaojiona wao ndio wanufaika wakubwa wa Ccm
Uliwahi kufika Pemba ukaona hali zao Na kuwasikia wenyewe ?
 
Kuwasikia Wapemba wakiinanga CCM sihitaji kupanda boti…Ilala nakuwa nao vijiweni nawaskia…au Wapemba wa Ilala na wa Mtambwe ni tofauti?
Uliwahi kufika Pemba ukaona hali zao Na kuwasikia wenyewe ?
 
Bara imejaa watu wajinga sn, acha tupigwe
 
Bara imejaa watu wajinga sn, acha tupigwe
 
Kuwasikia Wapemba wakiinanga CCM sihitaji kupanda boti…Ilala nakuwa nao vijiweni nawaskia…au Wapemba wa Ilala na wa Mtambwe ni tofauti?

Kumbe hujafika Pemba sikulaumu
 
Why do you think Zitto can help the cause of the Tanganyikans when he himself is an errand boy for the ruling party ccm, the party that has been at the forefront of bulldozing the people of Tanganyika at the expense of the so called union.

If you go to the roots of the Act-wazalendo the party that Zitto leads, you will trace the massive input that ccm placed to ensure the successful launch and running of that party so to rely on a person manning such a proxy party to advance people's opinions on such sensitive matters is highly fallacious.

Zitto is nothing but a ccm mole in opposition camp and he cannot fight the cause of the people but will only safeguard the interest of the people who sponsor him and his proxy party.
 
Kuipa mamlaka Zanzibar kutaiongezea Zanzibar kunufaika na Muungano.

Tunachotakiwa kufanya ni strategic process ya kuhakikisha Zanzibar inabaki na mamlaka ya kimkoa na siyo ya kinchi.

Idadi ya watu milion 1.5 ni ndogo sana hailingani hata na mkoa wa Njombe why wasihamishiwe Tanganyika wote with incentives halafu Zanzibar iwe occupied na Christian zaramos ?
 
"Kwani huu muungano una nini hasa, si tuwaachid nchi yao" sheikh ilunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…