Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Sisi Watanganyika nani atatusemea

Sitegemei kama Zito anaweza kuongelea lolote kwenye huu upendeleo unaondelea sasa kwa wazanzibari, kwani ACT nguvu yake iko kwa wapemba. Akilogwa akagusa maslahi ya Zanzibar, hapo ndio mwisho kupata support ya Wapemba. Anawategemea hao wapemba ili kupata chochote kwa ajili ya kukuza ACT huku bara.
 

Ndiyo mtajenga nchi au kuibomoa kabisa?
 
Pia kuna uwezekano Zenji ingekuwa level za Ngazija pangu pakavu, lolote linawezekana.
 
Yaani mkuu hapo umenena, kama sijakosea zaidi ya nusu ya wazanzibar wamekimbia uko zanzibar na wengi wao wako bara na wengine nje ya bara, nadhan hata wao wazanzbar bado wanapaona kwao kuwa pagumu
Uliwahi kufika Pemba ukaona hali zao Na kuwasikia wenyewe ?
 
Pia kuna uwezekano Zenji ingekuwa level za Ngazija pangu pakavu, lolote linawezekana.

Ngazija ipi? Labda ile serikali iliyowekwa Na jeshi la CCM ndio inayokula nyasi Na Si ile ya Mayotte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…