amarina
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 230
- 403
Mh Waziri.
Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua.
Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki zinafanyia uharamia wa kupita kiwango.
Mtumishi akikopa anatozwa gharama 100% zinazoonesha kutomuamini hata muajiri. Ina maana benki haimuamini mwajiri na muajiriwa.
1. Bima inatozwa kwa kila mwaka. Hii kukosa uaminifi na kumminya mtumishi. Mtumishi anampoteza pesa nyingi sana na Mkopo hauna tija, sehemu kubwa anakula mkopeshaji, huu ni unyanyasaji na uonevu wa mtumishi wa umma. Kama ni hivyo mfumo ina maana na faida gani?
Ushauri benki zote warejeshe utaratibu wa awali. Bima isitozwe kwa muda wote.
2. Gharama ya kutekelezaji. Ikiwa mfumo unachakata, hii processing fee si halali tena. Itolewe.