Wanalipia gharama za kuendesha databases mfano Umeme, IT guys na kadhalika. Mengine upo sahihiprocessing fee si halali tena.
h waaaaap hakuna iyoKuna ile bank ilisema riba ni haram ikawa inakopesha kikavu iliishia wapi
Bashe ni mtu ana Roho ya kishetani kabisa duHii nchi ni ngumu kila sehemu, ukisema uwe mkulima, Bashee naye anakuletea mnunuzi mmoja, eti atapangiwa bei, ndio maana wanakufa Kwa magonjwa ya ajabu ajabu, sisi wavuja jasho tupo tu pa1 na uonevu wte huu, ( mtetezi wangu Yu hai)
Atakusikia?Mh Waziri.
Wasaidizi wako au wewe mwenyewe umewaingiza watumishi wa umma katika mtego na adha na usumbufu aidha bila kujua.
Baada ya kuweka utaratibu wa mifumo kutumika kumkopesha mtumishi benki zinafanyia uharamia wa kupita kiwango.
Mtumishi akikopa anatozwa gharama 100% zinazoonesha kutomuamini hata muajiri. Ina maana benki haimuamini mwajiri na muajiriwa.
1. Bima inatozwa kwa kila mwaka. Hii kukosa uaminifi na kumminya mtumishi. Mtumishi anampoteza pesa nyingi sana na Mkopo hauna tija, sehemu kubwa anakula mkopeshaji, huu ni unyanyasaji na uonevu wa mtumishi wa umma. Kama ni hivyo mfumo ina maana na faida gani?
Ushauri benki zote warejeshe utaratibu wa awali. Bima isitozwe kwa muda wote.
2. Gharama ya kutekelezaji. Ikiwa mfumo unachakata, hii processing fee si halali tena. Itolewe.
UnaMh Waziri.

Ukitaka kwenda Burundi, mabasi yanapaki wapi?Mh Waziri.

Fuatilia hiyo kitu ipo, wateja wao wanavaa kama makasisi na wana lozari ila haina msalaba ina manyoya manyoyaAaa
h waaaaap hakuna iyo