Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
lakini napata shida moja, kwanini zitto aandike barua kwa katibu wa chama wakati yeye ni naibu katibu mkuu? kwnini aandike barua wakati nayeye anakuwepo kwenye vikao vya maamuzi? alishindwa kupeleka hoja kwenye vikao vya chama kwa mdomo mpaka aandike barua? anataka kutwambia hana mawasiliano mazuri na viongozi wenzake wa juu mpaka inafikia hatua aandike barua? naomba mnisaidie kujibu hayo maswali jamani. mimi nahisi kuna kitu ambacho hatukijui hapa ama kwa zitto au kwa uongozi wa juu, hainiingii akilini kabisa. ameshawahi kufanya hivyo mara ngapi kwenye kuandika barua kwa viongozi? kama hajawahi kwanini hili? na kama amwewahi kwanini aandike barua na kuja kwenye mitandao kuthibitisha hili kwani angekaa kimya ingekuaje? tuache ushabiki tufikiri zaizi ya ushabiki jamani.

Shida yake ni kudhalirisha chama,pili alijua team yao ya ugaidi imejulikana kwa hiyo alikuwa ana preempty lakini hakufanya mahesabu vizuri hakujua hiyo barua ingepelekea ma TISS yaliyokubuhu zaidi yake yangeingia ndani kwenye uchunguzi zaidi sasa they have every thing in their finger tip namuonaje kigagula aka masalia aka muuaji wa mapanya atakavyo panic mahakamani
 
Back
Top Bottom