Barua yangu ya wazi kwa Wana JF wote

Barua yangu ya wazi kwa Wana JF wote

Mimi nashauri walimu wote wapambane aisee! Haya maisha kwa sasa hayako poa kabisa. Kila mwalimu ajiongeze kwa nafasi yake, badala ya kuishi kwa kutegemea mshahara pekee.

Ukiishi kwa kuitegemea hii serikali ya CCM iliyojichokea, eti ikuongezee mshahara mnono! Aisee utachelewa sana kufikia nchi ya ahadi ya maziwa na asali.

Na wewe mtoa mada ukimaliza chuo, fikiria kwanza namna bora ya kujiajiri mtaani. Achana kabisa na mawazo ya kusubiria kuajiriwa na serikali. Maana kuna maelfu ya wenzako mpaka muda huu wanataabika mtaani kwa kusubiria ajira.
 
Hii barua ilipaswa uielekeze kwa:-
1. Waziri wa elimu.
2. Katibu mkuu wizara ya elimu.
3. Chama cha walimu.
4. Tamisemi.
5. Ofisi ya waziri mkuu na naibu waziri mkuu.
Bcc: Rais wa JMT
Asimsahau na mpwayungu
 
Back
Top Bottom