Huyo mpaka Mama yao kampongeza hawawezi kumgusa.Huko kwa Miss Grand, walijianika sana, uchi uchi.
Basata muko kimya, au mwisho bongo land tu?
Bro nenda IG 😅Picha bro picha
Kama Tomaso vile eeh?Picha bro picha
Bila hizo picha za uchi uchi kuwekwa hapa, huu uzi unabakia kuwa tetesi.Huko kwa Miss Grand, walijianika sana, uchi uchi.
Basata muko kimya, au mwisho bongo land tu?
HahahaHuyo mpaka Mama yao kampongeza hawawezi kumgusa.
Ila umeonesha unafiki wao vizuri sana 😂😂
Nashukuru Mungu siangaligi vitu vya kijinga na kwenye circle yangu Sina watu wa namna hiyoHuyo mpaka Mama yao kampongeza hawawezi kumgusa.
Ila umeonesha unafiki wao vizuri sana 😂😂
Nje ya mada kidogo...Basata muko kimya, au mwisho bongo land tu?
Vitu vya kijinga vingine vinaweza kukupa mtaji wa biashara mkuu, usividharau hivyo 😂😂😂Nashukuru Mungu siangaligi vitu vya kijinga na kwenye circle yangu Sina watu wa namna hiyo
ok.🐒Huko kwa Miss Grand, walijianika sana, uchi uchi.
Basata muko kimya, au mwisho bongo land tu?
Yeah baadhi ya vitu ni kweli kama Simba na Yanga watu wanapiga hela sanaVitu vya kijinga vingine vinaweza kukupa mtaji wa biashara mkuu, usividharau hivyo 😂😂😂
Pesa sahivi iko kwa mambugila...utajiokotea tuYeah baadhi ya vitu ni kweli kama Simba na Yanga watu wanapiga hela sana