BASATA Hongereni Kumfungia Diamond na Tabia Zake za Hovyo Zisizovumilika

Mambo yako ya kigogo peleka Dodoma. Akifungiwa wewe utapata nini?
 
Tuna Raisi mwenye msimamo imara asiyeyumbishwa ,fanyeni kazi kwa mfano wake mzuri; amewaweka ili mnyooshe mambo kwa niaba yake. Ziko nyimbo nyingi chafu zimezagaa kila mahali fuatilieni muokoe watoto wetu

Kwa herufi kubwa ningewapongeza sana kama WANGE DHIBITI (WASANII) hasa WAIMBAJI KUTOIMBA AU KURECORD NYIMBO ZAO MTAANI MBELE YA WATOTO AU KUHUSISHA WATOTO. Inanikera vibaya sana, watu wanaimba na kucheza Vigodoro ama michezo inayo fanana na hiyo mbele ya watoto na Mamlaka husika wakiangalia tu?????!! Nini wajibu wenu mnaoitwa viongozi??
 


Wangemfunga tu jela kwanza hana faida na taifa.
 
The Icebreaker watu hawayaelewi hayo wao ni kuwaza petty issues kutokana na alivoonywa na anavyoendelea kukaidi inaonekana hajitambui kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…