Diamond analewa sifa na kudharau mamlaka.Nyimbo zake nyingi hazina tafsida,matusi yako wazi kabisa hata mtoto mdogo anaelewa!Hivi anapoimba mambo ya Amber Ruti ana maanisha nn?Haoni kama anahamasisha upofu wa maadili?Nyege Nyege halafu ndio wanasema Nyegezi...hii sio sawa jamani?Hapa Dar kuna eneo linaitwa Mkunduge na Kunduchi.Ukiyatamka hayo majina kama yalivyo hakuna ubaya, lakini kwa mfano ukitamka ....Mkundu...Mkundu....halafu ukamalizia Mkunduge ...maana yako itakuwa ni hiyo au ulitaka utukane kwa kupotosha jina hilo?Vivo hivyo Kunduchi uanze kwa kuipotosha kwa kusema Kundu Kundu....Kunduchi!....Haya ndio madhaifu ya Diamond