Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa akifungiwa mtoto wako atasoma wapi?, unajua kwamba diamond analipa kodi kupitia muziki?
Asilipe, tuone itakuaje.Sasa akifungiwa mtoto wako atasoma wapi?, unajua kwamba diamond analipa kodi kupitia muziki?
Anachokifanya Diamond ni mashart ya mganga from Hollywood.....kutoka kule ili ufanikiwe katika tasnia ya burdan lazima uhamasishe moja wapo ya hv vtu vtatu.1.Ngono 2.Uchawi. 3.Mauaji...angalia filamu zote duniani, na miziki yote lazima ihamasishe kimoja wapo...
Piga faini 500m mpuuzi huyu kijanaMimi naoan kumfungia wanakosea wangempiga bonge la faini tu kila akikosea tu we ongeza faini tu
Ningalikuwa JIWE, huyu domo angekalia viboko kama 50 hivi ili akili zimkae sawaKapewa adhabu ndogo sana ilitakiwa atandikwe adhabu ya maana ili aelewe kua hatumuhitaji tena