Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madudi nelo ha ha umenikumbusha MT utakua mmawia tu weweChura wateka medi walikasaula eheeeeeh!
Tunaongelea ya mbele....Hivi wenzangu mnazungumzia nini ?
Tatizo maneni ya wimbo au kukata viuno???Heshima kwenu wakuu,
Hii video ya Snura ya Wimbo wa Chura anarukaruka, ikitoka tu naomba ifungiwe. Mkishaifungia mumpige msanii marufuku ya kujihusisha na Muziki kwa Miaka mitatu. Hatuwezi endelea kulealea huu ujinga.
Kama mliweza kuufungia Wimbo wa Roma wa Viva Roma Viva ambao haukua na tatizo katika Swala la maadili, naamin huu wimbo ukitoka msanii atawekwa mbaroni hata siku mbili.
Imetosha sasa kwa hawa dada zetu kujifanya eti wamepinda, wao ndo wanajua kukata mauni, wao ndo wanajua kutembea uchi.
Naomba BASATA msiangalie Nyani usoni
Nishaanza kuzeeka si bure,haiwezekani hadi kufukia hapa sijaelewa kitu.
hivi kule ni kukata kiuno au kutikisa matako tu?Tatizo maneni ya wimbo au kukata viuno???
Zama zimebadilikahivi kule ni kukata kiuno au kutikisa matako tu?
munna vipi,umenichekesha somoChura wateka medi walikasaula eheeeeeh!
Arudishwe bwawani kwa kuwa asili yake majiAkamatwe tu huyo chura.