BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

Tatizo maneni ya wimbo au kukata viuno???
 
Tatizo maneni ya wimbo au kukata viuno???
Yote sawa. Wewe kama unajua kukata mauno ukaambiwa ni Chura utakubali? Nataka tumshikishe adabu, anawafundisha binti zetu tabia mbaya
 
Chura ni jipu afungiwe,muziki huo unafundisha mini kama sio maadili mabaya,BASATA tutoleeni huo uchafu
 
Weken hapa hiyo chura...tunajadili unseen frog ebo!
 
Kama wewe umeiona tuwekee hapa na sisi tuone. Kwanini ufaidi mwenyewe?
 
Bila shaka punde baada ya kutoka itafungiwa....Basata wasipoifungia basi watakuwa na matatizo ,kama waliweza kuifungia video ya kawaida mno ya AY sioni sababu kwann hii ibaki.
 
Hii ata wasipo fungia tu TV itakayo onyesha hii video itakua sio timamu.. Puuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…