BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

BASATA kaeni mkao wa kula, Video ya Chura anarukaruka, ikitoka fungia kisha tia Kapuni

Wanawake wanajizalilisha sana kujifananisha na Chura daaaa
Sijui mwisho wake wa hayo mambo
 
Yaani huu wimbo usipofungiwa nashauri wadau tuwaandikie BASATA barua ya kuufungulia wimbo wa Shika adabu yako wa NEY wa mitego.Kwa sababu hauna makosa ya kimaadili ila wimbo huu wa chura video yake hata hao wachezaji wenyewe wanajijua kuwa wapo nusu uchi ndio maana wamevaa mask ili kuficha sura zao.Snura hajui kuimba so ili wimbo wake umake headline bongo ilibidi aweke watu wanaocheza uchi kwa sababu kibongo bongo lazima itapendwa tu hiyo video kuliko audio .
 
Cha kushangaza wale wanaojiita watetezi wa haki za wanawake huwa wapo kimyaaaaaaaa huwa siwaelewi kabisa
 
ila kiukweli haya ya chura anaruka ruka ni balaa.
nimeona clip akiwa anakuna nazi na stail ya chura nimekosa pozi
lakin dubu hivi haya mauno ya huu wimbo yanatofauti gani na yale alokuwa akiyakata wakati wa kampeni za Magu kule mwanza? ama kwakua hapa sio kwenye kampeni?

tukitaka kuwa fair zaid tujiulize alivyokuwa kwenye kampeni mbona hakuna alosema kitu? wao na wema walijiachia kama wamelogwa wakiwa wamevaa leggies huku muheshimiwa nape akiwa anawakaribisha tena hadi akaomba warudie tena kwa kuwaulia umati turudie shoo tusirudiee?? watu wakajibu irudiweee akawaambia anawapa dk 5 tu wafanye yao. mama yangu ilikuwa balaa. kama kuna mtu mwenye ile clip aiweke hapa. halafu ndo tuje hapa tuanze kusema kuna tofauti gani sasa na ya huu wimbo. Snura Mushi alishalelewa na hao CCM kwa staihi hiyo leo hii mnamfungie ili iwejje?
 
Mtoa mada mauno yake yanakuweka kwenye hal mbaya eenh!
Hivi ni mchaga wa wapi ana mauno hivi?
Nkiangalia najiskia aibu coz inakuwa too much!
snura ni mchaga wa machame maeeee
swali la kujiuliza hivi Basata waufungiaje wakati wakati wa kampeni za Magu yeye ndo alikuwa mnenguaji wao na mauno waliyaona na wakawa wanayapigia makofi?
 
Breaking News: Snura afungiwa kujihusisha na sanaa, TCRA waagizwa kuifuta video ya Chura mtandaoni
 
Sasa nimeamini Basata wako vizuri!.......
 
60aa9845bbeb213b4d456c3612b5f0cf.jpg
 
Mr. Bond yule mchekeshaji wa kitambo afunguliwe
 
Back
Top Bottom