Na kingenuka kweli kweli kama hajui aulize Magomeni na bucha za 😋 Mnyama.Kingenuka hata kabla ya basata
Bongo fleva sahvi inaendana na ushoga tu,mashoga wote wamo humoAliitwa Basata kwa ajili ya kipande cha video alicho act Aggrey wakidhani ana hamasisha Ushoga ila baada ya kuusikiliza na kuuona wimbo wote wamempongeza kwa kazi nzuri sana.
Hawezi kuweka shehe maana anajua atachinjwa, Ila kwa kuweka mchungaji ni pia tuDulla Makabila ni Muislam kwanini asimuweke shehe kwenye video yake?
Upuuzi mtupu .Ule wimbo maana yake inaonekana ukiangalia Video.
Ukisikiliza Audio ni kama unasifia vitendo husika
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Naona huko ndiko kwenye urahisi hata mambele watu wanaigiza Video kanisani wanawake wakicheza hovyo nusu uchi ,watu wakila tungi huku wakicheza.Vilevile unakuta msanii kazungukwa na wadada wa hovyo klabu huku kavaa cheni ya Rozali ikiwa na msalaba na ni kawaida sana.dulla kamtumia mchungaji kwa nini asimtumie sheikh !
Napenda sana mabinti wanaojichekesha kama wewe.Kwa hiyo umekaa sehemu unajikuna mapera yako,ukahitimisha mimi ni mkristo?😂😂😂
Tazama ulivyo na kaubongo kenye fikra za kijinga.Usimfikirie kila mtu ana umbile na jinsi kama ya mama yako.Utaanza kupakwa mafuta shauri yako.Halafu acha kunizoea kijana.Napenda sana mabinti wanaojichekesha kama wewe.
Vipi ushachumbiwa binti?
Uislamu ni dini ya heshima.Dulla Makabila ni Muislam kwanini asimuweke shehe kwenye video yake?
Tulia binti shobo umeanza wewe kuni qoute.Tazama ulivyo na kaubongo kenye fikra za kijinga.Usimfikirie kila mtu ana umbile na jinsi kama ya mama yako.Utaanza kupakwa mafuta shauri yako.Halafu acha kunizoea kijana.
Waislamu ni washari sana, Wakristo ni wavumilivu sana.Uislamu ni dini ya heshima.
Hata kuifanyia mzaa inakuwa si rahisi.
Ukristo dini ya mchongo sana.
Wachungaji wenyewe wanaifanyia kila aina ya ujinga na maigizo.
Mara kujifanya wamefufua wafu.
Mara kuponya vilema.
Kumbe usanii mtupu.
Sasa kina dullah kwa usanii kama huu kwanini na wao wasiige.
Umekosa misingi ya kutetea ujinga wako sasa umeanza mambo ya kishoga.Mimi siwezi kuoa shoga kijana.Haujafunzwa maadili mema kwenu na kuheshimu wazee?Tulia binti shobo umeanza wewe kuni qoute.
Usingeniquote wala nisingetaka kukuchumbia mchuchu.
Halafu mi ni saizi ya baba yako sio kijana hata.
Naomba uzingatie ombi langu ntalipa maghari unayotaka mchumba.
Unaonekana kazuri sana.
Hivi hii habari ya ukristo unahubiri amani mnaitolea wapi?Waislamu ni washari sana, Wakristo ni wavumilivu sana.
Uislam unahubiri upanga kwa upanga. Ukristo unahubiri msamaha. Tena mafundisho yameenda mbali, samehe saba mara sabini kwa siku (mtu mmoja akikukosea kwa siku)
Teeh teeh teehUmekosa misingi ya kutetea ujinga wako sasa umeanza mambo ya kishoga.Mimi siwezi kuoa shoga kijana.Haujafunzwa maadili mema kwenu na kuheshimu wazee?
Kwa nini asioneshe pia Sheikh/ Ustaadh/ Imam akiswekwa kwenye huo moto wa milele? Nyinyi watu mna chokochoko sana. Mkiguswa kidogo tu, mnakimbilia kwenye fujo, na uvunjifu wa amani.Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.