BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

Wakrist
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.

Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.

Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
O wamelaaniwa
 
Wenye akili kubwa ndio wanaelewa ila zumburukuku lzm libaki kutetea ujinga
 
Kwa nini asioneshe pia Sheikh/ Ustaadh/ Imam akiswekwa kwenye huo moto wa milele? Nyinyi watu mna chokochoko sana. Mkiguswa kidogo tu, mnakimbilia kwenye fujo, na uvunjifu wa amani.

Angekuwa ni msanii wa kikristo, halafu akatumia mfano wa Sheikh, tayari mngeanza kukusanyana ili kufanya fujo! Ifikie wakati mjiheshimu, na pia mheshimu imani ya watu wengine.
Kama dulla kafanya kosa ahukumiwe yeye kama yeye, haiwezekani kosa afanye dulla uhukumu na waislam wengine, mshughulikieni huyo dulla wenu
 
Halafu amevaa makobazi miguuni, huku akiwa na midevu kama Osama! Yaani mpaka muda huu wangekuwa tayari wanavunja maduka ya watu mtaani ili waibe mchele na unga, kwa kisingizio cha kukashfiwa dini yao.
Hiyo midevu hata yesu alikuwa nayo
 
Hi BASATA ina watu washamba sana hawajitambui, wanamaanisha nini? Kwamba ukiwa mchungaji ndiyo kibali cha kwenda mbinguni?!.
Mtoa mada kakuingiza chaka mkuu, hakuitiwa ishu ya mchungaji bali aliitiwa ishu ya ushoga
 
Waislamu hatuli lii kama nyinyi.

Sisi ni vitendo tu.

Ukileta ujinga kwenye dini yetu lazima utiwe adabu.

Nyie mmeruhusu kila aina ya maigizo kwenye dini yenu nashangaa la dullah makabila mmelikomalia.

Tunaushangaa unafiki wenu.
Kuna kiongozi wa dini ya kikristo labda Roman Catholic, Adventist kaingilia hilo?..Ni BASATA hao na issue za maadili ya taifa.
 
Haya umewekewa na video hapo chini Mariposa ameQuote sasa unalolote la kusema au kubisha kuwa basata wamemuita kwa sababu unayodai ?

Toa neno lolote kutokana na hiyo video ya basata wakihojiwa pamoja na Dulla Makabila kisha mambo mengine yaendelee..
Sasa wimbo unapigwaa na Kile kipande cha ushoga bado kipooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kristo ni nani?
Google mkuu. Halafu uzingatie one book started then after 600 yrs another book came with SOME same stories🤗.
Jesus ktk bible na Issa ktk koran sio mtu mmoja ukicheki deep.
Wa kwenye bible ndio "Kristo".
 
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.

Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.

Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.

Actually maandiko ndo yanasema kuwa wachungaji wataachwa
 
.... Unaitwa Dr Akili? Mbona Hakuonysha Shehe aliambiwa 'Pita Huku'? Ameweza Kuonyesha Mchungaji Tu???
Aonyeshe na Shehe akione Cha Moto! Ndio Mantiki ya BASATA.....
 
Kwanini ni mchungaji nasio shekhe wa dini yake Dulla??
Hii tabia ya kuchokoza na kusanifu dini za watu muache
 
Google mkuu. Halafu uzingatie one book started then after 600 yrs another book came with SOME same stories🤗.
Jesus ktk bible na Issa ktk koran sio mtu mmoja ukicheki deep.
Wa kwenye bible ndio "Kristo".
Unaulizwa kristo ni nani unatoa maelezo marefu yaso kichwa wala miguu.

Ukiitwa kafiri unafura.
 
.... Unaitwa Dr Akili? Mbona Hakuonysha Shehe aliambiwa 'Pita Huku'? Ameweza Kuonyesha Mchungaji Tu???
Aonyeshe na Shehe akione Cha Moto! Ndio Mantiki ya BASATA.....
Mchungaji amewakilisha viongozi wa dini zote wakiwamo mashehe.
 
Back
Top Bottom