Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
- Thread starter
- #61
Kwa nini na madokta wetu wasikinukishe? Hiko chama cha MAT mbona kimeona Dulla yuko sahihi kwa huyo Dokta kusweka motoni. Pia TLS kimeona ni sawa huyo hakimu kuswekwa motoni. Kwa nini Basata imeghafirika mchungaji wa aina hiyo kuswekwa kwenye moto waKingenuka hata kabla ya basata
milele? Au Basata ina wachungaji wengi?