Tunaushangaa unafiki wenu.Sasa hata dullah makabila si mmuachie mungu.
Tatizo nini mnalialia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaushangaa unafiki wenu.Sasa hata dullah makabila si mmuachie mungu.
Tatizo nini mnalialia
Wanafki ni nyinyi mnaojifanya dini yenu mungu wake ndiye anayeipambania.Tunaushangaa unafiki wenu.
O wamelaaniwaKatika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
Kama dulla kafanya kosa ahukumiwe yeye kama yeye, haiwezekani kosa afanye dulla uhukumu na waislam wengine, mshughulikieni huyo dulla wenuKwa nini asioneshe pia Sheikh/ Ustaadh/ Imam akiswekwa kwenye huo moto wa milele? Nyinyi watu mna chokochoko sana. Mkiguswa kidogo tu, mnakimbilia kwenye fujo, na uvunjifu wa amani.
Angekuwa ni msanii wa kikristo, halafu akatumia mfano wa Sheikh, tayari mngeanza kukusanyana ili kufanya fujo! Ifikie wakati mjiheshimu, na pia mheshimu imani ya watu wengine.
Hiyo midevu hata yesu alikuwa nayoHalafu amevaa makobazi miguuni, huku akiwa na midevu kama Osama! Yaani mpaka muda huu wangekuwa tayari wanavunja maduka ya watu mtaani ili waibe mchele na unga, kwa kisingizio cha kukashfiwa dini yao.
Mtoa mada kakuingiza chaka mkuu, hakuitiwa ishu ya mchungaji bali aliitiwa ishu ya ushogaHi BASATA ina watu washamba sana hawajitambui, wanamaanisha nini? Kwamba ukiwa mchungaji ndiyo kibali cha kwenda mbinguni?!.
Waislamu hatuli lii kama nyinyi.
Sisi ni vitendo tu.
Ukileta ujinga kwenye dini yetu lazima utiwe adabu.
Nyie mmeruhusu kila aina ya maigizo kwenye dini yenu nashangaa la dullah makabila mmelikomalia.
Kuna kiongozi wa dini ya kikristo labda Roman Catholic, Adventist kaingilia hilo?..Ni BASATA hao na issue za maadili ya taifa.Tunaushangaa unafiki wenu.
Kristo ni nani?Its okay mpinga kristo.
Ooooooh hapo sawaaaah.Niliona kwenye interview yule jamaa wa BASATA akiwa na Dulla alitoa huo ufafanuzi sasa sijui kama kuna mengine ya tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] video vixen Aggrey. UwiiiiiihNaona shoga naye kapewa shavu mule auze nyago
Ova
Sasa wimbo unapigwaa na Kile kipande cha ushoga bado kipooo.Haya umewekewa na video hapo chini Mariposa ameQuote sasa unalolote la kusema au kubisha kuwa basata wamemuita kwa sababu unayodai ?
Toa neno lolote kutokana na hiyo video ya basata wakihojiwa pamoja na Dulla Makabila kisha mambo mengine yaendelee..
Google mkuu. Halafu uzingatie one book started then after 600 yrs another book came with SOME same stories🤗.Kristo ni nani?
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
.... Unaitwa Dr Akili? Mbona Hakuonysha Shehe aliambiwa 'Pita Huku'? Ameweza Kuonyesha Mchungaji Tu???Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
Unaulizwa kristo ni nani unatoa maelezo marefu yaso kichwa wala miguu.Google mkuu. Halafu uzingatie one book started then after 600 yrs another book came with SOME same stories🤗.
Jesus ktk bible na Issa ktk koran sio mtu mmoja ukicheki deep.
Wa kwenye bible ndio "Kristo".