BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

Kingenuka hata kabla ya basata
Kwa nini na madokta wetu wasikinukishe? Hiko chama cha MAT mbona kimeona Dulla yuko sahihi kwa huyo Dokta kusweka motoni. Pia TLS kimeona ni sawa huyo hakimu kuswekwa motoni. Kwa nini Basata imeghafirika mchungaji wa aina hiyo kuswekwa kwenye moto wa
milele? Au Basata ina wachungaji wengi?
 
Kwa kufikiria kwangu walitaka asiwe muwazi vile walitaka aweke tafsida kidogo ktk kuwasema hao watu kwa kila mmoja kwa kadiri ya makosa yake, wakati kwenye vitabu vitakatifu tumeambiwa ukweli utamweka mtu huru na tukemee yale mabaya na tufundishane yaliyo mema.
ukakasi nao uona mimi ni kwenye mwimbaji kuweka wazi kila alisemalo.
 
Ukristo ni hauna shari, kila binadamu anatakiwa kuwa mkristo, ukristo una amani hakuna munkari wala maandamano ndio maana wasanii wako huru kuigiza mambo ya ukristo, ila wawe na mipaka na heshima kwa dini hiyo, waigize mambo chanya tu
 
Tatizo la BASATA ni udini
 
Wasanii wanawapromote sana hao mashoga
Bongo fleva,wasanii wa sasa wako karibu na mashoga
Ndomana kuna mahojiano fulani sjui huyo makabila anasema huyo aggrey ni mshikaji wake alimpigia sim,aje awesome kwenye video yake
BONGO FLEVA,WASANII WENGI SAHVI WAKO KARIBU NA MASHOGA NA WANA WAPROMOTE...

Ova
 
Angemtumia mufti au shehe basi.
 
Angeonyesha na shekhe akiingizwa motoni,Kwan mashekhe wote ni malaika ? BASATA wapo sahihi
 
Wabongo wengi mnatatizo la kutofuatilia taarifa kwa usahihi , uzi wako ni batili Dulla Makabila hajaitwa kwa kosa la kipande cha mchungaji basata wala hawajakosoa kipande hiko . Soma comment ya Mariposa utaelewa zaidi.
Uongooooo sio kipande cha Aggrey, ni huyo mchungaji, why asingeweka Sheikh au ostadh.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi BASATA ina watu washamba sana hawajitambui, wanamaanisha nini? Kwamba ukiwa mchungaji ndiyo kibali cha kwenda mbinguni?!.
 
Aliitwa Basata kwa ajili ya kipande cha video alicho act Aggrey wakidhani ana hamasisha Ushoga ila baada ya kuusikiliza na kuuona wimbo wote wamempongeza kwa kazi nzuri sana.
Asante cute,naamini wameelewa
 
Unaonaje aweke na shekhe akichomwa? Kwani kutakuwa na Shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…