My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
Haya umewekewa na video hapo chini Mariposa ameQuote sasa unalolote la kusema au kubisha kuwa basata wamemuita kwa sababu unayodai ?Uongooooo sio kipande cha Aggrey, ni huyo mchungaji, why asingeweka Sheikh au ostadh.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona shoga naye kapewa shavu mule auze nyago
Labda kwa sababu kwenye ule wimbo mlevi na DJ wameingia mbinguniKatika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
KWANI HIYO NDIYO WAMESEMA SABABU???? MIE NIMESIKIA WAME MMIND MR AGGREY.Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
VIBAYA SANA ILA NASHANGAA JUZI MASHEIKH WAO WAMEFANYA AIBU KUBWA SANA KWA JAMAA ANAJIITA NADIII ILA WAMEKAAA KIMYAAAAAA!!!! KAMA HAWAPO.Kingenuka hata kabla ya basata
Kwanini hakumweka sheikh?Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani.
Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali mbali wakipata adhabu hiyo. BASATA wamekuja juu kwamba kakosea kuonesha mchungaji akipata adhabu hiyo.
Ila kwa kuonesha mtu kama daktari akiswekwa kwenye moto wa milele huku mlemavu akipeta mbinguni kwa BASATA ni sawa. Yaani kwa mjibu wa BASATA hakuna wachungaji waovu hapa Duniani.
Na nyie iyo dini yenu mlimruhusu vipi dulla makabila kufanya hiyo video yake mpaka leo mje kulia lia eti kadhalilisha, na nyie si ndo wale wa hata ukivaa nusu uchi unyoe na kiduku roho mtakatifu yeye anaangalia imani au sio nyinyi, sasa dullah makabila ana tofauti gani na nabii shillah, kifupi huko kwenu magumashi ndo kwake, dullah hakutaka kufanya video yake msikitini kwakuwa huku anajua watu hawataki mbambamba!!Dulla makabila ni dini gani?
Wanaogopa dini zao wakihofia kuuawa km yule mwanamke wa Iran hajafunika kichwa.
Kwanini wasimuoneshe shekh? Ndiyo haya mambo ya Diamond.
Eti wamekaa kimya,, wale wameomba msamaha na wamekwenda kwa shekhe wa mkoa wa dar es salaam na wamesema kila kitu, kwamba walipewa hela na yule anaejiita nabii mkuu,VIBAYA SANA ILA NASHANGAA JUZI MASHEIKH WAO WAMEFANYA AIBU KUBWA SANA KWA JAMAA ANAJIITA NADIII ILA WAMEKAAA KIMYAAAAAA!!!! KAMA HAWAPO.
OK BASI VIZURI MAANA BINASFI SIKUFURAHIUSHWA KABISA NA ULE UPUUUZI JAPO MIE SIYO MUISLAM. HONGEREENIEti wamekaa kimya,, wale wameomba msamaha na wamekwenda kwa shekhe wa mkoa wa dar es salaam na wamesema kila kitu, kwamba walipewa hela na yule anaejiita nabii mkuu,
Na tena kwa taarifa yako tu wote wamesilimishwa upya kabisa, huku hakuna mbambamba.
Nyie mnapasuka mishipa ya shingo bure tu ukweli nikwamba kwenye ukristo ndio kuna mambo mengi ya hovyo ambayo yako wazi wazi sana na ni kwa wingi mno ndiomaana inakua rahisi kuja na mifano kutoka kwenye ukristo maana ndio utaeleweka kwa wepesi.hilo mkubali au mkatae ukweli ndio huo.Hata wa bongo muvi waache kuigiza mambo ya kikristo kama dini hiyo si yao, unakuta muvi inaitwa fake pastor, mbona hawaigizi fake shaikh? Kwenye uislam wanaogopa maana kule bakora zitatembezwa mchana kweupe na hata kuharibiwa mali zao. Wasani waislam waache kuigiza mambo ya kikristo negativelly hayawahusu. Kama vipi waigize ya imani yao inayowahusu watajuana wenyewe huko
Kwani ajabu gani mimi kunya mavi?Unaangaika,kujipa uthamani kama hunyi mavi
Hamchelewi kulia lia nyinyi pale wababe wenzenu wanapo wawekea kibonzo cha mtume wenu. Muwe na akiba ya maneno.Mnatakiwa kwanza mpigie kelele ile movie ya Brian Deacon kwa kumvalisha kichupi na kumfananisha na Yesu.
Waislamu hatuli lii kama nyinyi.Hamchelewi kulia lia nyinyi pale wababe wenzenu wanapo wawekea kibonzo cha mtume wenu. Muwe na akiba ya maneno.
Sasa kibonzo inajulikana ni dhihaka,, na wapi ushaona muislam kadhihaki kwa vibonzo kuuponda ukristo zaidi yenu nyie kutafuta choko choko, huyo Brian deccon tunaemdhihaki amepata baraka zote kutoka kwenu na mpaka kumuweka ukutani picha zake wakati ni mlevi mmoja tu,, tangu uzaliwe ushawai kuiona picha ya mtume? Hata hivyo vibonzo vinavyochorwa mpaka waandike huyu ni mtume kwa kuwa hakuna picha ya mtume,, lkn leo hii ukichora kibonzo cha yesu hata bila kuandika jina kitajulikana tu,,, kwa kifupi huko kwenu magumashi mengi.Hamchelewi kulia lia nyinyi pale wababe wenzenu wanapo wawekea kibonzo cha mtume wenu. Muwe na akiba ya maneno.
Wanamuachia mungu ahukumu sio kama nyie mnaojifanya mnamsaidia mungu kuhukumu hamna tofauti na akina kiduku kule N korea na madikteta wenzao.Uislamu ni dini ya heshima.
Hata kuifanyia mzaa inakuwa si rahisi.
Ukristo dini ya mchongo sana.
Wachungaji wenyewe wanaifanyia kila aina ya ujinga na maigizo.
Mara kujifanya wamefufua wafu.
Mara kuponya vilema.
Kumbe usanii mtupu.
Sasa kina dullah kwa usanii kama huu kwanini na wao wasiige.
Sasa hata dullah makabila si mmuachie mungu.Wanamuachia mungu ahukumu sio kama nyie mnaojifanya mnamsaidia mungu kuhukumu hamna tofauti na akina kiduku kule N korea na madikteta wenzao.