Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Waanze na yule KIONGOZI wa nchi fulan aliyemwambia RPC wa Njombwee avute bangi ili afanye kazi vizuriKiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa mstari wake unaosema "tusmoke weed one time".
Natoa rai kwa Baraza La Sanaa nchini BASATA kumchukulia hatua kali mwanadada huyu ili iwe fundisho kwa wengine. Napendekeza wimbo huo ufungiwe na yeye awe admonished and suspended kwa mwaka mmoja na ikiwa wimbo husika upo kwenye album album husika ipigwe stop
Haps ndio inaonesha rangi yako halisi wewe Ni mtu wa majungu na chuki.Kwa sasa yupp marekani kuimba kiitikio acha arudi
Kiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa mstari wake unaosema "tusmoke weed one time".
Natoa rai kwa Baraza La Sanaa nchini BASATA kumchukulia hatua kali mwanadada huyu ili iwe fundisho kwa wengine. Napendekeza wimbo huo ufungiwe na yeye awe admonished and suspended kwa mwaka mmoja na ikiwa wimbo husika upo kwenye album album husika ipigwe stop
Hata magugu ni weed, sio kila weed ni bangi, hata kama ametaja bangi kweli, wewe Kikumacho nini??Kwahiyo wewe unadhani anaposema weed anamaanisha tumbaku?
Kwani ni nani katajwa ?Haps ndio inaonesha rangi yako halisi wewe Ni mtu wa majungu na chuki.
ungefungua uzi wa kuwaomba TCRA kuwafungia watangazaji machoko wanaohamasisha ushoga,wakina Lokole,Dr.Kumbuka na Mwijaku ungekua mtu wa maana sana but kwa Jay D umechemkaKiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa mstari wake unaosema "tusmoke weed one time".
Natoa rai kwa Baraza La Sanaa nchini BASATA kumchukulia hatua kali mwanadada huyu ili iwe fundisho kwa wengine. Napendekeza wimbo huo ufungiwe na yeye awe admonished and suspended kwa mwaka mmoja na ikiwa wimbo husika upo kwenye album album husika ipigwe stop
Nipo sana rafiki
Na anayehamasisha biashara ya ngono asichukuliwe hatua stahiki?Sasa wewe "utmost good faith" unataka mharifu Jide asichukuliwe hatua stahiki?