BASATA mfungieni Lady Jaydee anahamasisha uvutaji bangi hadharani

Kiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa mstari wake unaosema "tusmoke weed one time".

Natoa rai kwa Baraza La Sanaa nchini BASATA kumchukulia hatua kali mwanadada huyu ili iwe fundisho kwa wengine. Napendekeza wimbo huo ufungiwe na yeye awe admonished and suspended kwa mwaka mmoja na ikiwa wimbo husika upo kwenye album album husika ipigwe stop

Waanze na yule KIONGOZI wa nchi fulan aliyemwambia RPC wa Njombwee avute bangi ili afanye kazi vizuri
 
Mnamuachaje yule jamaa wa paka mate ateleze kunako?
Mzee wa kisogeze kileso
 
Mwingine anasemaOhhh Baby nawashwa pabaya,Acha lizamee unapenda vya gizagiza ka ujanizoeaa,Raha ya Ile kitu uone inapotokeaaaaaaaaa
 
Dah.. We jamaa umebakiza hatua tatu tu kuwa mshirikina kamili.
Kiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa mstari wake unaosema "tusmoke weed one time".

Natoa rai kwa Baraza La Sanaa nchini BASATA kumchukulia hatua kali mwanadada huyu ili iwe fundisho kwa wengine. Napendekeza wimbo huo ufungiwe na yeye awe admonished and suspended kwa mwaka mmoja na ikiwa wimbo husika upo kwenye album album husika ipigwe stop

Kiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa mstari wake unaosema "tusmoke weed one time".

Natoa rai kwa Baraza La Sanaa nchini BASATA kumchukulia hatua kali mwanadada huyu ili iwe fundisho kwa wengine. Napendekeza wimbo huo ufungiwe na yeye awe admonished and suspended kwa mwaka mmoja na ikiwa wimbo husika upo kwenye album album husika ipigwe stop

ungefungua uzi wa kuwaomba TCRA kuwafungia watangazaji machoko wanaohamasisha ushoga,wakina Lokole,Dr.Kumbuka na Mwijaku ungekua mtu wa maana sana but kwa Jay D umechemka
 
Ule wimbo uko sawa tu, sema nimetazama video yake, yoyote yule aliyemuweka yale manyusi kwenye macho Dada Jaydee anafaa kutandikwa makofi. Tena mkimuona huko mpeni mitama kabisa
 
Na yule anayesema "weka mate niteleze kama nyoka pangoni" vipi?
Au yule anayesema "umenifanya tembo kutwa nadindisha mkonga"?

Jamani kuna kabinti kanaitwa Maua Sama,haka kabinti nyimbo zake zote kanaimba matusi matusi!
Eti sungura nipe karoti maharage sijazoea maana yake nini?Au msumari kwa nyundo nigonge!Au kati nakutunuku mia mia!Au kilima nipandishe!
Haka kabinti bhana!
 
Komando on fire acha wivu

Au lengo ndo limetimia LA kutusikilizisha
Wimbo ni mzuri sana video Kali , melody inanikosha
 
Wakubwa nauliza kulitokea nn kwenye show ya dada mkubwa pale the cask??? Maana maneno yamekuwa meng
 
Mbona Bangi ipo tu na imeendelea kuwepo tangu vizazi na vizazi.

Suala la kuhamasika kuvuta ama vinginevyo ni lako mwenyewe.

Acha kurusha watu stimu zao bana,huo mmea upo tu na utaendelea kuwepo.
 
Back
Top Bottom