Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kiukweli nimefadhaika sana baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Dada Mkuu, Komando na Malkia wa Bongo flava Lady Jaydee uitwao One Time. Humo ndani Jide anahamasisha uvutaji bangi hadharani, hasa mstari wake unaosema "tusmoke weed one time".
Natoa rai kwa Baraza La Sanaa nchini BASATA kumchukulia hatua kali mwanadada huyu ili iwe fundisho kwa wengine. Napendekeza wimbo huo ufungiwe na yeye awe admonished and suspended kwa mwaka mmoja na ikiwa wimbo husika upo kwenye album album husika ipigwe stop
Waanze na yule KIONGOZI wa nchi fulan aliyemwambia RPC wa Njombwee avute bangi ili afanye kazi vizuri