BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Eti wimbo Oscar Oscar 'Mniombee' upigwe saa Sita Usiku na ushasambaa

BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Eti wimbo Oscar Oscar 'Mniombee' upigwe saa Sita Usiku na ushasambaa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu wazima pekee.

Mapana ameyazungumza hayo baada ya kumuita Oscar Oscar BASATA kujadili mustakabali wa wimbo wake mpya wa "Mniombee"


1747915388009.png
 
Wangeufungia tu.
kuna vitu tunavifanya vya kawaida sana kumbe vinamomonyoa maadili.
 
Nyie ndo hamjaelewa, kwa lugha nyepes ni kila mtu ashinde match zake tusipangiane cha kuimba wewe ndo chagua cha kusikiliza.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hata iwe saa nane usiku siwezi kusikiliza matusi hayo
 
Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu wazima pekee.

Mapana ameyazungumza hayo baada ya kumuita Oscar Oscar BASATA kujadili mustakabali wa wimbo wake mpya wa "Mniombee"

ila nyimbo za diamond zinapigwa muda wowote? maana naona hata yeye ana ;MAUDHUI yale yale. au yeye nyimbo zake haziharibu mambo?
 
Osca huyuhuyu mwenye mabango ya matusi kila siku

USSR
 
Daslamu mambo ni mengi sana aisee, ety Oscar Oscar nae anaimba 😂
 
Halafu kuna waumini wanasali kwenye hilo kanisa la huyo anayejifanya mchekeshaji, waTanzania Sisi ni wapumbavu mno aisee
 
mbona hii imekaa vizuri sana,kuliko wangeufungia kabisa bora wameuruhusu walau kwa taratibu maalum,ndiyo maana hata kwa wenzetu vipindi vyote vya radio na televisheni vina maelekezo ya umri wa kusikiliza au kuangalia...good move!
 
Back
Top Bottom