matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mkuu asubuhi hadi jioni wakinamama wanahamasishwa wakalie vyuuupa.Mkuu swala la singeli nazani si la basata maana naona kila siku ni bongofleva tu wakizingua wanaitwa na baraza
😂😂Kwel MkuuMkuu asubuhi hadi jioni wakinamama wanahamasishwa wakalie vyuuupa.
Wachukuliwe hatua hawa. Sasa mtu akiuelewa huo wimbo na kuanza kukalia chupa ya balimi si ndio kuvunjiana ndoa huko na kuonekana dunia nzima ni bamia tu
Hebu weka kama kuna linkbyoutube tuukague maana nimekuwa sizizingatii inabidi niziangalie.Kuna huo unaitwa "utakuja" unatrend sana
Sina link lakini ukicheki YouTube unaupataHebu weka kama kuna linkbyoutube tuukague maana nimekuwa sizizingatii inabidi niziangalie.
Mchakamchaka flani hivi ila humo ndani kuna pornographia za hatari. Kila ni Habari zaidi zinapopigwa kwenye public na watoto wanasikiliza
Mkuu wewe ndiye yule Dada aliyepewa colabo nini!!!!Na wee si ungekalia TU chupa mkuu[emoji23]
Neno kipaimara halina wingi mkuu.Hizi nyimbo za watu wa pwani wanaimba kama watu wanakimbia mchakamchaka fulani hivi zinaitwa Singeli.
Jana watoto wengi walipata vipaimara sasa kuna Nyumba moja walikodisha mziki ambao sauti Kitongoji chote ilizizima kana kwamba kila mwanakitongoji kavalishwa headphone kwa ile mdundo.
Mdundo haukuwa shida hadi vibao cha ajabu na cha kijinga kabisa kilipowekwa kwa kujirudiarudia. Yule jamaa na mmama wanaoimba wanaimba "Kaliachupa Dadaaa, kaliachupaa".
Sasa hadi imefikia hatua ya Wanawake kuhamasishwa kukalia vyupa hadharani na promotion mitaani hivi Mimi naona sio sawa. Wimbo huu uzuiliwe aisee.
Ile mchumba mbona hutokei...nakujaaKuna huo unaitwa "utakuja" unatrend sana
Huohuo mkuuIle mchumba mbona hutokei...nakujaa
Ndo huo??
[emoji1787][emoji1787]Tatizo kubwa wasanii wengi wa singeli hawajulikani.
Unaskia wimbo unakiki Sana mtaani, kumbe kaimba kijana wako wa form TWO apo uani kwako.