matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Hizi nyimbo za watu wa pwani wanaimba kama watu wanakimbia mchakamchaka fulani hivi zinaitwa Singeli.
Jana watoto wengi walipata vipaimara sasa kuna Nyumba moja walikodisha mziki ambao sauti Kitongoji chote ilizizima kana kwamba kila mwanakitongoji kavalishwa headphone kwa ile mdundo.
Mdundo haukuwa shida hadi vibao cha ajabu na cha kijinga kabisa kilipowekwa kwa kujirudiarudia. Yule jamaa na mmama wanaoimba wanaimba "Kaliachupa Dadaaa, kaliachupaa".
Sasa hadi imefikia hatua ya Wanawake kuhamasishwa kukalia vyupa hadharani na promotion mitaani hivi Mimi naona sio sawa. Wimbo huu uzuiliwe aisee.