BASATA, Ney wa Mitego afungiwe miaka mitatu na wimbo wake wa “Kwa Mpalange”

BASATA, Ney wa Mitego afungiwe miaka mitatu na wimbo wake wa “Kwa Mpalange”

Halafu jamani kiukweli ufungiwe tuu,maana wanavyoimba hivyo,halafu nakuta mada za mambo haya humu napata vishawishi vya kuonja hiyo kitu daaah!Ina nini hasa? Maana wadada ndo wanahamasishana sn kutoa na kwamba ndo ujanja na kuwa et ni tamuuuuu.Vijana nao ndo mmh!
 
Hatuwezi kuvumilia utovu wa maadili kiasi hiki. Huu wimbo wa Ney wa Mitego uitwao "kwa mpalange" sina haja ya kuuelezea ni wimbo mchafu mno kuanzia tu na jina lake eti "kwa mpalange"?.

Kama tutawavumilia wasanii Kama Ney wa Mitego tutaharibu hiki kizazi, naomba BASATA wamfungie Ney Wa Mitego kujihusisha na muziki kwa miaka 3 na pia wafungie wimbo wake wa matusi ulio kinyume na maadili wa kwa mpalange ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wenye nia ovu Kama yake.

Wewe ni famba
Kwani kwa mpalange si ni sehemu ipo Buza
 
Kuna nyimbo nyingi tu za hovyo, basata wanaangalia tu,
Nashauri basata ifutwe.
Kweli zipo nyingi kuna wimbo unaimba " MKE WANGU NAKURUHUSU UKADANGE NA UKIPATA BUZI LA KIZUNGU MPELEKE KWA MPANGALANGE " anaongezea hadi tujenge nyumba!!! Yaani my wife I give you permission to be a prostitute and if you get a Europian/Caucasian client allow him to sodomize you"
 
Back
Top Bottom