BASATA, Ney wa Mitego afungiwe miaka mitatu na wimbo wake wa “Kwa Mpalange”

BASATA, Ney wa Mitego afungiwe miaka mitatu na wimbo wake wa “Kwa Mpalange”

huyo chalii wa mpelekee Moto na whozu ...
Anakuambia Kalibusti liwe saa 6 amevua Tuu pwaah
Eti Mimi sijawahi nimeweka Tuu pwaah

Mkongo ,Alkasusi sekunde ya Tano Tuu pwaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
kwanza kabisa, mpalange ni jina la ukoo wa watu, kwa mpalange ni mtaa upo buza, kulikuwa na mzee anaitwa mpalange

kwa hiyo si vyema kulitumia jina la watu, na jina la mtaa kama tusi, sio vyema
Wenye ukoo hawawezi vuta mpunga kwa huyo Ney kwa kutumia jina bila idhini yao?
 
Kweli zipo nyingi kuna wimbo unaimba " MKE WANGU NAKURUHUSU UKADANGE NA UKIPATA BUZI LA KIZUNGU MPELEKE KWA MPANGALANGE " anaongezea hadi tujenge nyumba!!! Yaani my wife I give you permission to be a prostitute and if you get a Europian/Caucasian client allow him to sodomize you"
Basata wakisikia hivyo wanachekelea tu.
 
Hatuwezi kuvumilia utovu wa maadili kiasi hiki. Huu wimbo wa Ney wa Mitego uitwao "kwa mpalange" sina haja ya kuuelezea ni wimbo mchafu mno kuanzia tu na jina lake eti "kwa mpalange"?.

Kama tutawavumilia wasanii Kama Ney wa Mitego tutaharibu hiki kizazi, naomba BASATA wamfungie Ney Wa Mitego kujihusisha na muziki kwa miaka 3 na pia wafungie wimbo wake wa matusi ulio kinyume na maadili wa kwa mpalange ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wenye nia ovu Kama yake.

Kigezo cha kwanza cha kumfungia ni jina la wimbo kweli?
Mpalange ni jina la mtu na tunaposema kwa mpalange nadhani umeelewa nini maana
Sasa katika misamiati ya kiswahili mpalange inatajwa kama nini?
Ama hii ni lugha gani ambayo tafsiri yake kwa kiswahili ninini
Hamna sababu ya kumfungia ney
Makosa utakuwa nayo wewe ambaye umetafasiri huu wimbo na maana zako na utuambie umetoa wapi hiyo maana

Ney hawezi kufungiwa kwa maoni yako tu
 
Halafu jamani kiukweli ufungiwe tuu,maana wanavyoimba hivyo,halafu nakuta mada za mambo haya humu napata vishawishi vya kuonja hiyo kitu daaah!Ina nini hasa? Maana wadada ndo wanahamasishana sn kutoa na kwamba ndo ujanja na kuwa et ni tamuuuuu.Vijana nao ndo mmh!
Iyo kitu utamu wake we acha tu yani
 
Wivu wa kipuuzi kwa sababu jamaa sio ccm mbona ccm kuna wapuuzi wengi wanaimba upuuzi mtupu
Ushaanza kuingiza ushabiki wa vyama hiv ujui Hili jukwaa linaitwaje?Hiv kwanini mnapenda Sana kuingiza mambo ya siasa kwenye mambo ambayo hayana siasa
 
Hatuwezi kuvumilia utovu wa maadili kiasi hiki. Huu wimbo wa Ney wa Mitego uitwao "kwa mpalange" sina haja ya kuuelezea ni wimbo mchafu mno kuanzia tu na jina lake eti "kwa mpalange"?.

Kama tutawavumilia wasanii Kama Ney wa Mitego tutaharibu hiki kizazi, naomba BASATA wamfungie Ney Wa Mitego kujihusisha na muziki kwa miaka 3 na pia wafungie wimbo wake wa matusi ulio kinyume na maadili wa kwa mpalange ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wenye nia ovu Kama yake.

Mzee wa pale kati patamu.
 
Halafu jamani kiukweli ufungiwe tuu,maana wanavyoimba hivyo,halafu nakuta mada za mambo haya humu napata vishawishi vya kuonja hiyo kitu daaah!Ina nini hasa? Maana wadada ndo wanahamasishana sn kutoa na kwamba ndo ujanja na kuwa et ni tamuuuuu.Vijana nao ndo mmh!
Mkuu ni uchafu na ni dhambi ( kimaadili sio nzuri na hata ki afya pia )
 
Back
Top Bottom