Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Tafsida inayoeleweka na watu wengi haitakiwi kutumiwa ovyo ikaathiri wengine, ungesema ni fumbo sawa, mana fumbo huwezi kulitafsiri direct kama tafsida zoeleka. Mf ni nani leo hajui neno uani kama ni bafuni/chooni hiyo ni tafsida.Hamna matusi yanayoimbwa ni tafsida. Na tafsida zinaimbwa tokea zamani.
Acheni unafiki.
Unaficha ukal wa maneno kwa maneno ambayo hayana maadili yenye kuchochea uovu?
Wasanii wa saizi n wajinga wanatembelea upepo wa maneno yanayotrend badala ya kuwa na utunzi mzr.