BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'

Asanteni BASATA kwa uupa promo huu wimbo wa kiwanamapinduzi.
 
Watu washakuwa na huu wimbo tokea umetoka wakijua kinachoendelea.👇
 

Attachments

  • Screenshot_20241011-090331.png
    162.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241011-090343.png
    463.9 KB · Views: 3
Hii taarifa ipo tangu jana, sasa kuna nyimbo ya NAY inapigwa kwenye vyombo vya burudani hapa Bongo? 🤣🤣🤣
 
Hivi BASATA zile video zinazorushwa za wadada wako na vichupi kwenye baadhi ya luninga huwa hawahusiki nazo,wafanye kazi kwa kutokuangalia upande mmoja,inawezekana kweli wimbo wa Ney ukawa una ukakasi,basi wazuie hata nyimbo ambazo hata sisi wazazi tunashindwa kuangalia na watoto zetu kwenye luninga,kwakuwa kimaadili sio nzuri...
 
Nimetafuta statement ya BADATA dijaona hii barua.

Mkuu hii taarifa naweza kuithibitisha wapi? Tuwekee link pls kama inawezekana

JamiiCheck pls mtusaidie maana tukianza kuwanyoosha BASATA tuwe na uhakika na walichokifanya
 
Kuna msanii alitoa ka remix kanasema " sambaratisha K yake" sijasikia hata kuitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…