Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,254
Upuuzi Mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubabaishaji kila kona ya Nchi hiiBest Male Artist of the Year,Ben Paul kafanya kazi gani 2020/2021? hii nchi michongo mingi sana.
Hajajisajili Basata....hakuna huba hulu doh
Kwa staili hii wanayoenda nao hasara,WASAFI wana haki ya kuwalalamikia hawa jamaa na kukataa kupeleka kazi zao.
Iweje Damian soul awekwe kipengere cha underground musician wakati ameanza mziki tangu 2015 huko na ana Ngoma Kali Tu?
Pia vipengere vingi vimejaa Ali kiba na harmonize utadhani wao ndy wasanii pekee hapa bongo
Professor jay??..dah!! Huku ni kujikomba
Alafu Kama kuna vipengere amewekwa mtu wa injili Christina shusho Kwa nn rose muhando hawajamuweka? Huyu mama amekimbiza sn mwaka 2021 na namba zake zipo juu kuzidi Christina huko kwenye platforms za music ,YouTube na zingine
Basata sijui Nani huwa anawaandaliaga kupanga hizi list...makosa mengine yamakuja kwenye kutaja washindi.tusubiri
Damian soul upcoming artist😂😂 hii nchi haijawahi kuwa serious kwenye jambo lolote lileBinafsi Damian Soul kwenye upcoming kama wamemkosea hivi, hata kussah, mbona walishakuja kitambo kwenye game
Sawa mkuuRomina:
Wao tayari kwao ni advantage wana fan base. Msanii pendwa kajitoa. Tuna changamoto ya kukosoa vya kwetu, kwenye tasnia hii hata kama BASATA wana makosa lazima tukubali hatua moja, bado ni hatua kubwa....
Wapuuzi HaobasataDamian wa kitambo ana miaka karibu 8
Mimi hapo kwa Damian Soul naona ni sawa tu.Damian soul upcoming artist[emoji23][emoji23] hii nchi haijawahi kuwa serious kwenye jambo lolote lile
wcb kawaida huyu mond kiburProf jay kama kawekwa kwa sababu
Tuzo hazina maana hizi BASATA kuna shida gani mpaka wasafi hawajaleta kazi zao
Lizzo wakati anatoa hiyo album alikua anafahamika??? cause kama suala la album masela kibao tu kitaa wana album, mixtape,Ep..Damian anafahamika na nyimbo ambazo kafanya zimeshakua kwenye chats kwa miaka,,utasemaje ni upcoming???Mimi hapo kwa Damian Soul naona ni sawa tu.
Lizzo alitoa albamu yake ya kwanza mwaka 2013 lakini it was until 2020 ndo alipata nomination ya best new artist kwenye grammies.
Je inamaanisha kuwa for the past 7 years Lizzo alikuwa hatoi ngoma? No alikuwa ngoma anatoa but hazikuwa na impact.
Lizzo alivyotoa Truth Hurts ndo dunia ikamfahamu kuwa she is Lizzo. Her song had an impact. It did a certain damage kwenye industry na ndo maana akapata Grammy nomination kama Best New Artist.
Same kwa Diamond. He was once a rapper tena alifanyaga hadi ngoma na Mangwair lakini haikuleta any impact. He was not nominated kwenye any award mpaka alivyotoa kamwambie mwaka 2010 ndo akashinda tuzo ya msanii bora chipukizi.
Same kwa huyu dogo Mac Voice. Alivyokuwa kwa chege alikuwa anatoa ngoma but hazikuwa na impact. Ila alivyoingia kwa Rayvanny ilichukua wiki tano tu dogo akapata nomination AEUSA. Why? Kwa sababu ya Impact! Ngoma zilipenya!
Same kwa Damian Soul. Mapopo ilileta impact kuliko ngoma zake zote. Its fair akipata nomination sasa hivi. Its not about time. Its about impact. Je watanzania walipagawa na wimbo upi kutoka kwako?
Damian Soul its right akikaa kwenye hiyo category. Tusiichukulie personal
Umesahau wakati 20 Percent anachukua Tuzo 5, nyimbo zake zote alitengeneza Man Walter,but Tuzo ya mtayarishaji Bora alipewa LamarBEST MALE MUSICIAN OF THE YEAR
HARMONIZE
PROFESSOR J
JUX
BEN PAUL
YOUNG LUNYA
ila mambo mengine ni ya ajabu kweli. yan eti msanii bora wa kiume wa mwaka, list ndio hii. halafu ukiona kwenye orodha hapo Ali Kiba ametawala karibu kila category, ila cha ajabu kwenye msanii bora wa mwaka yupo Ben paul ambeye mwaka 2021 sina hakika kama alitoa wimbo hata mmoja . na kama alitoa labda mmoja nao ujue haukufanya vizuri.
kwa mantiki hiyo ni halali Diamond alizikataa hizi tuzo. tusimuone labda ana majivuno, ila alishaona kuwa zipo kimichongo sana.