Mimi hapo kwa Damian Soul naona ni sawa tu.
Lizzo alitoa albamu yake ya kwanza mwaka 2013 lakini it was until 2020 ndo alipata nomination ya best new artist kwenye grammies.
Je inamaanisha kuwa for the past 7 years Lizzo alikuwa hatoi ngoma? No alikuwa ngoma anatoa but hazikuwa na impact.
Lizzo alivyotoa Truth Hurts ndo dunia ikamfahamu kuwa she is Lizzo. Her song had an impact. It did a certain damage kwenye industry na ndo maana akapata Grammy nomination kama Best New Artist.
Same kwa Diamond. He was once a rapper tena alifanyaga hadi ngoma na Mangwair lakini haikuleta any impact. He was not nominated kwenye any award mpaka alivyotoa kamwambie mwaka 2010 ndo akashinda tuzo ya msanii bora chipukizi.
Same kwa huyu dogo Mac Voice. Alivyokuwa kwa chege alikuwa anatoa ngoma but hazikuwa na impact. Ila alivyoingia kwa Rayvanny ilichukua wiki tano tu dogo akapata nomination AEUSA. Why? Kwa sababu ya Impact! Ngoma zilipenya!
Same kwa Damian Soul. Mapopo ilileta impact kuliko ngoma zake zote. Its fair akipata nomination sasa hivi. Its not about time. Its about impact. Je watanzania walipagawa na wimbo upi kutoka kwako?
Damian Soul its right akikaa kwenye hiyo category. Tusiichukulie personal