BASATA waweka wazi Nominations za Tanzania Music Awards. Ali Kiba Aongoza

Wakisema watende haki.....
Hizo list zote zitajaa Alikiba tu, Mwamba 2021 ulikuwa ni mwaka wake. Alitoa kazi nyingi na zote zilipokelewa vyema.
Mfano, Ndombolo ilistahili kuwepo kwenye category karibu zote ila imetajwa sehemu moja tu.
Mkuu sema ukwel,weka ushabiki pembeni
 
Hata mimi nimeona hivi mkuu, amewekwa kutokana na kinachoendelea lakini in reality mtu kama Nay Wa Mitego alifanya vizuri kuliko Prof
Hawako realistic, maamuzi yao yako kisiasasiasa.
Nimewaelewa waliogoma kushiriki, ni kama kwa namna fulani walitarajia uendeshwaji uliokosa professionalism kama unaoonekana katika nominees hao.
 
Damian soul Ngoma zake zilifahamika Sanaa toka kipindi hcho...Kwa mifano ya diamond n lodymusic Afu uweke sehemu moja na Damian soul sio kweli![emoji23]...Damon's soul katoa Ngoma na Vanessa mdee - kaumba, na weusi, young killer, na wengine niliowasahau ..aisee Afu Leo awe upcoming artist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…