BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

Nahisi ney kabla ya kuutoa huo wimgo angemkonsult kwanza lema amwambie hali ya huko gwandani ikoje kwa kel maana namuhurumia.
Na kwataalifa yako mtukufu kasema asisumbuliwe ye anakapenda hako lawimbo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85] [emoji85]
 
Ngoja afungiwe mwaka mzima na hakuna kupiga hata wimbo wake ndio atapata akili.Kiki imebuma
Na kwa taalifa yako rais kasema aachiwe na wimbo huo anaupenda kama nn [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kamfungie mzee
 
Kuna pini lingine nmeliskia leo linaitwa "Nipeleke Segerea" ni shida sijui nawezaje kuupload hiku
 
Message sent, delivered, read & understood the only thing left is to take an action.
 
nyie baasata marufuku hiyo veepeeee...naona executive order imekuja mmeufyata, tuachieni gomaa limetulia hili. kaka nay hebu gonga na remix sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…