Mambo yetu mambo yetu!BASHITE atakuwa na nini sijui, hakuna silaha inayotumwa dhidi yake inafaulu.
Lazima Mkuu wa Nchi anamkingia kifua!
Utakuwa hata maua tu hana huko kwake.We una hekari ngapi ulizolima?
Huwezi kumlazimisha amenej vipi muda wake Yeye kaamua ku fanya hivyo.watu wengine hamna kazi umejipinda kuandika upuuzi huu muda bora ungeutumia kulima
Roho mbaya itakuuwa ww Ney kakosea nini hadi afungiwe?Ingekuwa vizuri akafungiwa Ney mwenyewe kama mwaka mmoja na maruku kituo chochote kupiga nyimbo zake kwa mwaka mmoja