BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

Hawa jamaa wananifyurahisha sana yale manyimbo ya vigodoro

shemeji shemeji ...................mimi sijasikia tusi ........................lakini kwenye singeli matusi waziwazi au mimi sielewi
 
Mbona kaziba jicho moja au ndiyo uyo mungu wake anayemwabudu anampa kila kitu.
 
Nahisi ney kabla ya kuutoa huo wimgo angemkonsult kwanza lema amwambie hali ya huko gwandani ikoje kwa kel maana namuhurumia.
 
Hivi hawa BASATA ni taasisi ya magamba kama ilivyo UVCCM? Mbona ule wimbo mashairi yake yako kawaida kabisa?
 
Hawa BASATA kwa kujipendekeza hawajambo... Bahati nzuro teuzi zimeisha kwa sasa
 
Ingekuwa vizuri akafungiwa Ney mwenyewe kama mwaka mmoja na maruku kituo chochote kupiga nyimbo zake kwa mwaka mmoja
 
Wanaufungia wapi? Kabatini? Mbona wameshachelewa ujumbe upo hewani
 
kama una biashara sahv badili brand name weka brand name ya bashite uone jinsi unavyoatract customers
 
Hiv awajaisikia hii ya baghdad kamaliza kila kitu-{siku hizi daudi sio lukas bali wa albert bashite mtumbua majipu vipi hii chunus uipite(sishinikizwi)}
 
Nikiwa msanii naweza ikataa basata kwani lazima?. Kazindulie Kenya. WA tz wengi tunaangalia citizens zaidi ya tbc.
 
Upo salama kwenye memory card yangu labda watengeneze virus wa utack
 
Nimeshauweka kama ringtone ya simu yangu. Kwenye daladala nachelewa kupokea simu makusudi.

Nay kamaliza yote. Message delivered...
 
Maadili yapi? Huyu Magu katengeneza wanafiki wengi kweli... Kila mtu anataka kujipendekeza
 
Back
Top Bottom