BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

Ewaaaaa...ukiona mwanamke Hana kelele ogopa sana
 
Tatizo sio ukimya ila ni wewe kumwamini mwanamke na kua na huyo tu..

Dee ulikua nae yeye tu!! Vee ulikua nae yeye tu sasa hapo mkuu kwanini usiumizwe?

Uko na mtoto mkali kwa gari hupigi wala nini eti uko na Vee.
Madem zako walikuzidi ujanja, wao walikua na plan B.
 
Ukistajabu ya Dee utaona ya Vee.
 
Mkuu ndo hivo, yaani kwa sasa ninavyowapanga hawa viumbe, na baadhi wanajuana ila hawana budi
 
Pole sana Kiongozi.

Ila tone yako mbona kama umekata tamaa?
Ndo maana nikasema hii kitu inaweza kukutengenezea Trauma, kuhusu hio sector ya ndoa nmekata tamaa kiukweli, just imagine huo ukimya anakufanyia mwanamke ambae mmeweka nae commitment ya maisha yaan ndoa, huoni tabu hapo? Huwezi ku-undo
 
Hahahahaha
 
Kinachouma zaidi ni kuwa anaishi kwa amani,
Tuombe Mungu aachwe
Huyu Vee ndo nadhan anaishi kwa raha sana sababu mme wake namjua na ni mwanamke smart sana.

Lkn Dee, yule wa kwanza hivi ninavyoongea ni counter wa bar fulan hapo sinza, ni single maza, bado ni mkali kiasi ila analika tu, nadhan ni curse ya kuumiza moyo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…